GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Na watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.

Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.

Uzalendo kwanza.
Mkuu ukianzisha vita na hao ujue unaanzisha vita na serikali yako
 
Katika watu wajinga na wewe jihesabu, Zari ameolewa na Mtanzania yupi?
Mbona unanitukana mkuu,
Zari si kafunga ndoa na Diamondi, mtanzania mwenzetu, au sio mkuu.

Acha kitukana basi, sio vizuri mkuu.
 
Hata Watanzania hatupangiwi pia, ila sababu kubwa ni idadi kubwa ya Watanzania washamba.
Ile timu ya Ubelgiji ambayo Samatta anachezea inabid Wamebelgiji waifanyie boycott kwa nini haijachukua wachezaji wa kibelgiji inamcheza Mtanzania

Same to yale makampuni yanayowatumia akina Flaviana,Millen etc etc yakiwaacha warembo wa South Africa na America yaliko inabid wananchi wa nchi hizo wayasusie
 
Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?

Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.

Ni kweli IQ ni tatizo kubwa. Nami kwa IQ yangu ya kitanzania nashauri Wamarekani na Waafrika Kusini wasusie bidhaa zinazotangazwa na Flaviana na Magese tuzinunue sisi kwa kuwa zimetangazwa na wabongo wenzetu!!

Kwani huyo Zarina akitangaza bidhaa za GSM zikanunuliwa kodi inaenda Uganda? DANUBE ikiongeza tawi huoni kuna kijana ataweza kupitisha siku kwa kufutafuta vumbi zile samani? Huoni kuna mpangishaji kapata mteja?

Chuki yako kwa Zari na uwezo wa kununua kitu DANUBE ndo tatizo. Ni sawa na mimi nisusie Fastjet wakati nikijipigapiga sana bodaboda.

Halafu ulivyo mstaarabu na learned brother umejiunga IG kwa ajili ya series za mitusi?? Mitusi ni kitu kinachowasha masikio, kuumiza moyo na kudhalilisha. Haikuongezei kitu kwenye distinguished IQ yako. Mambo mengine uwe unaficha.
 
Back
Top Bottom