GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Usitangaze kwa umma namna gani ulivyo na akili ndogo hata huyo flaviana matata unayemsema anatangaza bidhaa nchi za watu so na wao wamtimue wawachukue models wao...
Inakuuma fungua project yako uwaweke hao akina joti ya watu hayakuhusu.
 
unapomnyeshea mtu kidole, kumbuka vitatu vinakunyoshea wewe mwenyewe.
 
Mtu uwekeze fedha zako halafu upangiwe watu wa kufanya nao kazi???, fungua biashara yako halafu waajiri hao unaowataka
 
Ha ha ha ha ha , wasiwasi wangu in kwamba hata pesa za kununua kitu humo huna.
 
Hivi Matola Linda ajakupeleka Marekani tu? Si ulisema atakufanyia mpango. Naona maisha yanakuchanganya, bora ukabebe box na wewe, au umri ahurusu?
 
huyu MATOLA inabidi amtafute STEVEN NYERERE wazunguke Tanzania kufundisha uzalendo!! maana wote wawili ni vituko
 
diamond platnumz x Rick Ross
mambo yamezidi kua matamu sana na sasa hivi wataota majipu sehem nyeti
 
Models wa kitanzania wakilalwa tu na staa picha hizo zinamwagwa mtandaoni,mimba wanajitegesha kesi juu wanafungua wakitaka matunzo ya milion kwa mwezi.

Danube wameshasemwa vya kutosha sasa wakichukua model wa kitanzania mwisho wa mkataba huyo model atasingizia walimtaka kimapenzi akawakataa. Itakua ni skendo juu ya skendo
 
Ok, hivi huyu mama watano naye ni model?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…