Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......au yule wa chura !Afadhal au mama ashura
Wewe Ndio uko chini ya kiwangoMshamba ni wewe usiyejuwa hakuna mchina anayeweza kuagiza nguo bongo, labda pembe za ndovu.
Wewe jamaa uko chini ya kiwango sana napoteza muda kudabate na mtu mjinga kama wewe.
unapomnyeshea mtu kidole, kumbuka vitatu vinakunyoshea wewe mwenyewe.Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?
Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
Ha ha ha ha ha , wasiwasi wangu in kwamba hata pesa za kununua kitu humo huna.Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.
Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.
Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo
Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.
Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Kwani huyo unayemualika ndiyo anaekulishaU
utakula uzalendo
kampuni ni yao
wanamchagua mtu wao
anzisha duka lako afungue Ebitoke
Nenda uhamiaji kaulize..... teh teh.....Je, Zari ana work permit ya kufanya kazi Tanzania????
Hili ndiyo la muhimu.
Ok, hivi huyu mama watano naye ni model?Models wa kitanzania wakilalwa tu na staa picha hizo zinamwagwa mtandaoni,mimba wanajitegesha kesi juu wanafungua wakitaka matunzo ya milion kwa mwezi.
Danube wameshasemwa vya kutosha sasa wakichukua model wa kitanzania mwisho wa mkataba huyo model atasingizia walimtaka kimapenzi akawakataa. Itakua ni skendo juu ya skendo