GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Ndugu yangu rudi ukasome uchumi uje na facts mpya za kutushawishi,,,,,,,,

Vigezo vya kumchagua balozi wa biashara flani kwanza awe ni influencial buddy pia Kwa sasa awe na watu wengi wanamfollow ktka mitandao ya kijamii kias kwamba maisha yake tu ni spΓ©cial brandy yenye kuuza chochote atachokiweka sokoni

Ukweli ni kwamba biashara sio undugu tu na ubinafsi huo ni ubutu wa akili labda kama huna malengo makubwa. ,,, ukimzungumzia zari ktka biashara ni mtu muhimu na wengi wanamtazama lyfe style yake na kumfatilia sana kwa attention hii promo za kibiashara kwake zina outcome nzuri

Sio modoz wote walio influencial kwa watu kama unavyodhani kuna vigezo vinazingatiwa we hujajiuliza brand kubwa kama belaire kutomchagua yeyote kuwa baloz wao bongo lakini wakamchagua chibu
 
Leo umepotoka sana, biashara haina mipaka sasa wewe endelea na yako mkuu.
 
DUNIA IWEKE TUZO ZA WACHUKIAJI...Bongo kuna watu wana vipaji!!!

Hahaha eti 'Boycott' piga hata "Girlcott" wahusika ndio wameshaamua na Zari kashapiga pesa yake wewe baki unalalama tu huku JF...Usiponunua bidhaa wewe kuna watu wengine kumi zaidi yako Watanunua
 
Zari ni Balozi wa GSM mkuu kama ulikua hujui
 
Kutangaza biashara lazma uangalie mtu anaeuzika, kwa hapa bongo wema sepetu anafaa sana, yani alitakiwa atangaze hadi matangazo ya chips snacks tatizo lake unalijua kabisa hajielewi
Sasa mnataka makampuni yafanyeje
 
Nashukuru Mkuu nawe una liona sawa na ninavyoliona Mimi
Zari ni Mganda kwa nini GSM inakataa kuwashirikisha models wa Tz wakaamua kumchukua mtu wa nje ya Tz
Uzalendo uko wapi?
Kuna watakaosema sijui Kidhungu blah blah ! that's full of bs!
Matangazo ya biashara ndani ya Tz Models toka nchi jirani WHY N HOW?
DANUBE wapeni support models wa Tz sio huu ushabiki maandazi!
 
Kutangaza biashara lazma uangalie mtu anaeuzika, kwa hapa bongo wema sepetu anafaa sana, yani alitakiwa atangaze hadi matangazo ya chips snacks tatizo lake unalijua kabisa hajielewi
Sasa mnataka makampuni yafanyeje
Mkuu ni Wema tuuuuuu ndiyo model ndani ya Tz?
Let's be serious!
Wapo wengi mbona Flavianna Miriam Odemba etc
Let's get to a point tuvipende vya kwetu tuvithamini tuviendeleze
Pesa atakayolipwa Zari haitabaki Tz itaenda South Africa au Uganda lakini kama ingekuwa ni Mtanzania pesa itabaki Tz. Hili naona wengi hawalioni.... Ni wazo tu!
 
Miriam odemba sasa kwa jamii ya sasa ana ushawishi gani? Hauziki bana ni sisi wahenga ndo tunamjua tangu kwenye matangazo ya revola
Afu hapo kwenye kusema pesa itaenda South ni roho mbaya sasa
 
Sidhani kama wangemualika bila wao kwanza kujiridhisha kuwa anatosha shughuli hiyo.

Cha kufanya wewe sasa badala ya kulalama, hebu ongeza thamani kwa wale wa kwako unaodhani wanastahili fursa hizo alafu wajiandae kwa fursa zijazo...mbona maduka/ofisi nyingi tu huwa zinazinduliwa.
 
kwanza juzi tu kajichoresha kupost video ya zari ya Danube kuwa anafata hereni, yani kupitia bifu za kugombania dudu ndo anataka apewe deal, Zari anastahili hizo deal
 
Fungua biashara yako na ww ili Wakufungulie models wa kibongo wenzako wameangalia base ya fans wa zari Uganda kenya South nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…