GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Mfanya biashara anaangalia zaidi aina ya biashara yake na nani ana influence zaidi kwa kipindi hicho...


Ukitaka kujua wanatumia akili kufanya haya mambo, ona mpaka wewe ume sha notice uwepo wa duka lao jipya...


Hapo shida siyo Zari, hapo wanataka attention ya biashara yao...


Cc: mahondaw
 
Yani kwakuwa Zari anatombeshea South Africa ndio unajitia upofu kwamba hatombeshi?

Hivi kwa akili yako Waganda wanaweza kumuita Mtanzania kufanya lounge ya duka lao? Mentality slave.
Wacha chuki binafsi...na hicho ndy kinachowafanya mumchukie zari...kwann DAIMOND awe na zari kwani TANZANIA hakuna wanawake?mbona hajawahi kuitwa kabla ya kuzaa na diamond....wacha chuki...
 
Albadili ishaanza kufanya kazi, si amini huyu aliyeleta uzi ni mwanaume kwani nina wasiwasi na mwandiko na maneno yake, mmmh mungu okoa hiki kizazi na kwa aina hii ya vijana wa kiume, serikali ya viwanda tutaisikia kwenye bomba hata rais awe wa kutoka mbinguni, tutaendelea na uchumi wetu huu wa mabanda ya ubuyu. Alafu ndugu yangu kaa ukijua chuki humuua polepole mtu mjinga, alafu hao unaowachukia wanaendelea kufanikiwa, sasa kama wewe ni WALI NAZI endelea na hizo chuki na ubuyu, ila kama ni MWANAUME pambana na hali yako kwani kesho Kuna familia itakutazama. Ila dada zangu mna haki ya kulalamika kwani WANAUME tupo wachache.
 
Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?

Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
hata mimi mange kaniumbua sana ,maana zamani insta ilikuwa no uwanja wa wife na nilikuwa nauponda !wife kanikuta niko na account insta halafu ni muumini wa dhehebu la mange nikipata ibada ya mitusi original daily !
 
Mkuu ukiwa na mawazo hayo basi na wamarekani na wajapani wangesema hawamtaki Hasheem Thabeet kwenye team yao maana marekani kuna bplayers kibao,hivyo hivyo kina samatta ,magesse, matata wote wasinge ajiriwa huko.......Mfumo wa kibepali ni kupambana.
 
Teh Teh kwenye huu uzi ntakuwa msomaji wa michango tuuu.......
 
Mfanya biashara anaangalia zaidi aina ya biashara yake na nani ana influence zaidi kwa kipindi hicho...


Ukitaka kujua wanatumia akili kufanya haya mambo, ona mpaka wewe ume sha notice uwepo wa duka lao jipya...


Hapo shida siyo Zari, hapo wanataka attention ya biashara yao...


Cc: mahondaw
Hajielewi...

Angeenda huyo Flavi wala asingeleta uzi hapa..
 
8a031c723b6fa8075c39c8b6208660d6.jpg
Ngoja nile popcon zangu, huku nikiendelea kuangalia hili picha, linaloendelea, limefikia sehemu tamu sana!
 
Na watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.

Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.

Uzalendo kwanza.
Tangu lini waswahili wakaenda Danube kufanya shopping Mwisho wenu keko furniture msilete visingizio na msinunue.
 
Wadada wakibongo wanaweza kuwa mabalozi Kwenye vigodoro GSM ni kampuni Kubwa haileng soko la ndani tu, inatakiwa model anayejielewa Mwenye ushawishi ndani na nje.

Wateja watakaojaa hapo wengi sio raia wa kibongo, kizungu chenyewe mamodel wa kibongo wengi Mwisho mbagala.

Ukiangalia mamodel wote wanaojielewa bongo ni mabalozi wa biashara makini, Lulu kashalijua Ndio maana siku hiz kaacha ujinga namtabiria atafika Mbali Sana.
 
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it.

Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.

Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.

Team ushuzi unaruhusiwa kujaza omo mdomoni ukaja na mapovu hapa.
Mazee.

Kwanza mimi sina team zaidi ya kuwa "team first principles".

Umeandika vizuri kwamba huna ushabiki na mtu, umeleta hili kwa sababu linaingia katika uchumi.

Tuongelee uchumi. Turudi kwa Adam Smith kuja mbele.

Hapa nakuja na darasa la uchumi, natumia kanuni za "free trade". Sipendi protectionism. Protectionism inaleta "trade wars". Ukizuia watu wa nje kufanya biashara Tanzania, na wao wakilipiza hivyo hivyo kwao, Watanzania tunaofanya biashara nje tutapata tabu sana.

Biashara ya soko huria inawaruhusu kumleta model wa popote.

Wamarekani wangeleta kijiba wa support models wao tu, Flaviana Matata asingekuwa model wa kimataifa Marekani.

Wabelgiji wangesema wa support wachezaji wao tu, Mbwana Samatta asingekuwa anacheza Genk.

Waache watumie uhuru wao wa soko huria.

Na wewe tumia uhuru wa wallet yako kuwasusia kama hupendi wanakichofanya.

Kama mpo wengi hampendi na mna protest, watapata ujumbe na kuwasikiliza. Mnayo haki hiyo kupitia kanuni za demand and supply.

Mimi nishapeleka biashara zangu Kabalagala Kampala. Nisingependa kuona Waganda wanawasusia Watanzania biashara eti kwa sababu ni Watanzania tu.

Hujui maelewano yao yakoje. Waache wafanye wanavyoruhusiwa kwa kanuni za soko huria na sheria.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapo waswahili, walioelimika kama akina mengi, watakwenda kununua mkuu.
Hao waswahili wakina mengi wanahitaji ushawishi wa model makini hivi Gigy money Ndio amshawishi mengi labda Kwenye mengine sio biashara.
 
Back
Top Bottom