Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha chuki binafsi...na hicho ndy kinachowafanya mumchukie zari...kwann DAIMOND awe na zari kwani TANZANIA hakuna wanawake?mbona hajawahi kuitwa kabla ya kuzaa na diamond....wacha chuki...Yani kwakuwa Zari anatombeshea South Africa ndio unajitia upofu kwamba hatombeshi?
Hivi kwa akili yako Waganda wanaweza kumuita Mtanzania kufanya lounge ya duka lao? Mentality slave.
hata mimi mange kaniumbua sana ,maana zamani insta ilikuwa no uwanja wa wife na nilikuwa nauponda !wife kanikuta niko na account insta halafu ni muumini wa dhehebu la mange nikipata ibada ya mitusi original daily !Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?
Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
Hajielewi...Mfanya biashara anaangalia zaidi aina ya biashara yake na nani ana influence zaidi kwa kipindi hicho...
Ukitaka kujua wanatumia akili kufanya haya mambo, ona mpaka wewe ume sha notice uwepo wa duka lao jipya...
Hapo shida siyo Zari, hapo wanataka attention ya biashara yao...
Cc: mahondaw
Tangu lini waswahili wakaenda Danube kufanya shopping Mwisho wenu keko furniture msilete visingizio na msinunue.Na watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.
Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.
Uzalendo kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapo waswahili, walioelimika kama akina mengi, watakwenda kununua mkuu.Tangu lini waswahili wakaenda Danube kufanya shopping Mwisho wenu keko furniture msilete visingizio na msinunue.
Mazee.Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.
Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it.
Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.
Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo
Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.
Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Team ushuzi unaruhusiwa kujaza omo mdomoni ukaja na mapovu hapa.
Sterring Zari kanoon [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]. [emoji3]Ngoja nile popcon zangu, huku nikiendelea kuangalia hili picha, linaloendelea, limefikia sehemu tamu sana!![]()
Hao waswahili wakina mengi wanahitaji ushawishi wa model makini hivi Gigy money Ndio amshawishi mengi labda Kwenye mengine sio biashara.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapo waswahili, walioelimika kama akina mengi, watakwenda kununua mkuu.
Afadhal au mama ashuraOK sasa tumekusikia. Tutamtoa zari na kumweka gigi money
Hivi ile dili ya T-shirt za Kiba iliishia wapi??Wewe na Kiba wote hamna akili.
Am too old kwa mambo ya Team ushuzi kunuka.