GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

Zouzoutz

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
1,883
Reaction score
2,732
Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi

Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi

Mwenye nacho ataongezewa

Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na ya kutosha

Na amesema kuwa watakula zaidi ya 300M ya tajiri na 15M ya goli la Mama

Yanga hatunaga dogo

Tunaenda kumtwanga mtu kwake kwa wakeze na watoto zake

GGyanga
GKTal5cXMAAt9n7.jpeg
 
Back
Top Bottom