GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

Kwenye mipira tu watu hela wanatoa kwengineko jiiiii

Ova
Ni sayansi ndogo, mpira unalipa, Mpira ni bizness , kila timu uliyodhamini inavyopanda juu kwa mafanikio na bizness zako zinapanda, unatajwa sana na bizness ni matangazo hivyo pesa ya mdhamini lazima itoke ili pesa zaidi ije na huku ndiko Lucifer alipoweka makazi !!

ila katika maisha ya kawaida kutoa mf msaada kwa mtu ni kupunguza ulicho nacho na kihisia inauma kwa ndani na ni kitu binadamu hapendi hadi umlazimishe, asili ya binadamu ni kumiliki (Maslow theory) hata umpe dunia nzima bado hatoridhika , sasa unapotoa msaada unapunguza ulichonacho na kwa ndani lazima ikuume sana na ukiona inauma ndio ubinadamu kamili, inauma kwa sababu hupati return, ni tofauti na kutoa pesa na ukapewa kitu mfano ukaenda kkoo ukatoa pesa ukapewa simu, hii haiumi. Ukitoa msaada imeenda hiyo , wewe hupati kitu in return in real life, secular definition ( humans are very selfish in nature but wanalazimishwa kusaidia kwa nguvu kwa imani kuwa humans have a moral duty to help those in need, kutoa msaada ni lazima sababu binadamu wote huishi kwa kutegemea na kunyonya (exploit) wengine na hata ukidedi ukiwa tajiri wataokuzika ni makapuku hawana kazi wana muda kwenda kuchimba kaburi na kukupeleka kukufukia). Suala la kuamini Allah atakupa zaidi unapotoa msaada si la kuona kwa macho (not a positivist approach phenomenon ) na si la kulazimisha kila mtu aamini hasa kwa wasioamini Mungu haliwahusu.

Kuomba omba msaada ni hatari sana kisaikolojia inajenga utegemezi na kila mtu unavyoomba msaada na kupewa unazidi kuomba daily hadi unawakera unaowaomba japo hawatakwambia na usichokijua unavyozidi kuomba ndio unadidimia kwenye umaskini wa kutupwa hadi itafika stage kufanya ni haki yako kupewa kila unapoomba.

Tuwakataze watoto kuombaomba watakuwa wajinga na maskini
 
Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa
Ukisikia shobo ndio hiyo sasa.
Yani umpangie mwenye nazo kipi cha kutumia?
FB_IMG_1711756511496.jpg
 
Ni sayansi ndogo, mpira unalipa, Mpira ni bizness , kila timu uliyodhamini inavyopanda juu kwa mafanikio na bizness zako zinapanda, unatajwa sana na bizness ni matangazo hivyo pesa ya mdhamini lazima itoke ili pesa zaidi ije na huku ndiko Lucifer alipoweka makazi !!

ila katika maisha ya kawaida kutoa mf msaada kwa mtu ni kupunguza ulicho nacho na kihisia inauma kwa ndani na ni kitu binadamu hapendi hadi umlazimishe, asili ya binadamu ni kumiliki (Maslow theory) hata umpe dunia nzima bado hatoridhika , sasa unapotoa msaada unapunguza ulichonacho na kwa ndani lazima ikuume sana na ukiona inauma ndio ubinadamu kamili, inauma kwa sababu hupati return, ni tofauti na kutoa pesa na ukapewa kitu mfano ukaenda kkoo ukatoa pesa ukapewa simu. Ukitoa msaada imeenda hiyo , wewe hupati kitu in return in real life, secular definition ( humans are selfish in nature). Suala la kuamini Allah atakupa zaidi unapotoa msaada si la kuona kwa macho (not a positivist approach phenomenon ) na si la kulazimisha kila mtu aamini hasa kwa wasioamini Mungu haliwahusu.

Kuomba omba msaada ni hatari sana kisaikolojia inajenga utegemezi na kila mtu unavyoomba msaada na kupewa unazidi kuomba daily hadi unawakera unaowaomba japo hawatakwambia na usichokijua unavyozidi kuomba ndio unadidimia kwenye umaskini wa kutupwa hadi itafika stage kufanya ni haki yako kupewa kila unapoomba.

Tuwakataze watoto kuombaomba watakuwa wajinga na maskini
Ushauri mzuri sana
 
Huyo anayetoa hiyo hela umwambie kuna watu 100 kule wanakaribia kukata roho kwa kukosa fedha Za kulipia matibabu hawezi kukuelewa
Tafuta na wewe pesa ili uwasaidie hao wagonjwa wanaokaribia kukata roho.
 
Back
Top Bottom