GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi

Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi

Mwenye nacho ataongezewa

Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na ya kutosha

Na amesema kuwa watakula zaidi ya 300M ya tajiri na 15M ya goli la Mama

Yanga hatunaga dogo

Tunaenda kumtwanga mtu kwake kwa wakeze na watoto zake

GGyangaView attachment 2953576
Aziz Ki na yeye kaahidi kutoa milioni 1 kwa kila goli litakalofungwa na mchezaji wa Yanga
 
Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi

Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi

Mwenye nacho ataongezewa

Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na ya kutosha

Na amesema kuwa watakula zaidi ya 300M ya tajiri na 15M ya goli la Mama

Yanga hatunaga dogo

Tunaenda kumtwanga mtu kwake kwa wakeze na watoto zake

GGyangaView attachment 2953576
Ata akiweka 2.3b zitaozea mfukoni mwake tu.
 
kila goli tu? au ni magoli ya ushindi?
 
Back
Top Bottom