Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie mimi naweka bilioni moja kwa kila goli watakalofunga bila kujali wanashinda ama wanatolewa.Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi
Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi
Mwenye nacho ataongezewa
Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na ya kutosha
Na amesema kuwa watakula zaidi ya 300M ya tajiri na 15M ya goli la Mama
Yanga hatunaga dogo
Tunaenda kumtwanga mtu kwake kwa wakeze na watoto zake
GGyangaView attachment 2953576
Anza kuyanunua yangu bs.Mabao yangekua yananunuliwa hivi wanaume wangekua matajiri kufuru....!
Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa
Umeshakimbia kule?😒Mikosi hii ishaanza,why adding all this unnecessary pressure kwa wachezaji?. Game yenyewe ni pressure tosha
Yanga ushindi ni lazima afe Kipa afe Beki Sundowns lazima afe msako wa porikwapori mputamputa mpaka watu wakatike misuli ya mapajaMikosi hii ishaanza,why adding all this unnecessary pressure kwa wachezaji?. Game yenyewe ni pressure tosha
Mengi kivipi wakati na wao wana 4Ahaaaaa
Kwa mabao hayo tunakuwa tumefuzu kwa magoli mengi ya ugenini