Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Kama nawaboa semeniii??? ππHautukwazi tajiri
Hauna baya tajiri
Hautukeri tajiri
ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nawaboa semeniii??? ππHautukwazi tajiri
Hauna baya tajiri
Hautukeri tajiri
ππππ
Yes.Wakipigwa hata 4 3 bado pesa wanabeba?
hapana ila watakua makini na zile chance wanazopata! Watakua seriousMpaka hapo ameshawatoa mchezoni yanga watakuwa wanawaza kufunguka tu mwisho wa siku watapigwa nying wacheze vile vile kwa kujihami
Wakipewa wazee wa BAKWATA wataongeza wake wengine tu.Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa
Hautuboi tajiriii πKama nawaboa semeniii??? ππ
Kwani hela walizopata baada ya kuuza eneo la Kibasila walizipeleka wapi? Kwanini hawakujengea hospitali?Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa
wachezaji wetu hawajawahi kuweka pesa mbele, kesho lazima watapanick kutokana na kiu ya kwenda nusu na sio pesa.NInaona kama hii yaweza kuwa destruction kwa vijana, wakawa na uncontrollable morale wakaishia kupotezea vibaya.. nambie!.
Mara wajukuu wa RAGE watalalama "Uto anapendelewa hizo ni pesa za Serikali zinatolewa kificho kwa mgongo wa Jiiesiemu"Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi
Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi
Mwenye nacho ataongezewa
Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na ya kutosha
Na amesema kuwa watakula zaidi ya 300M ya tajiri na 15M ya goli la Mama
Yanga hatunaga dogo
Tunaenda kumtwanga mtu kwake kwa wakeze na watoto zake
GGyangaView attachment 2953576
Tuombe Munguwachezaji wetu hawajawahi kuweka pesa mbele, kesho lazima watapanick kutokana na kiu ya kwenda nusu na sio pesa.
Mmhh hapa nafikiri hawa vijana wataalam akina mshamba_hachekwi ndio maeneo yao haya ephen_ , lazima atakuja na suluhishoApp gani naweza kuitumia kupata majibu nina kazi hiyo hata Al haijaleta majibu.
Namsubiri hajaingia tokea janaTuombe Mungu
Mmhh hapa nafikiri hawa vijana wataalam akina mshamba_hachekwi ndio maeneo yao haya ephen_ , lazima atakuja na suluhisho
Mzize na Musonda wana bahati sana, mara 100 hata Musonda 2023 alionesha mchango wake baadhi ya magoli hadi Yanga kutinga CAFCCL ila Mzize hana tofauti na Giroud Arsenal SC former player...[emoji28]Mzize ana cheka [emoji81][emoji81]sijui ana chekea nini ..ila kati mzize na andazi nachukua andazi
Naamini atarud sio muda, si unajua tena sie wazee wenu tulisoma enz hizo, sio tu AI bali hata Gugo haikuwepo. Tuli rely zaidd kwenye maktaba na vitabu kama source ya information. Sasa hiz AI hatuzijui sana πNamsubiri hajaingia tokea jana
Asante!
Mara hii ushakua mzeeπ Nakubali nakubali!Naamini atarud sio muda, si unajua tena sie wazee wenu tulisoma enz hizo, sio tu AI bali hata Gugo haikuwepo. Tuli rely zaidd kwenye maktaba na vitabu kama source ya information. Sasa hiz AI hatuzijui sana π
Kuna sehem nimeona wamesema goli la ugenini litahesabika kama game ikitoka droo ila kwa ishu kama hii jamaa wanapita hata ikiwa 2 14-3
Tunaendam kwakuwa tumefunga magoli mengi ya ugenini
Kolokhamsa linadhani mtoano ni ball possession ndiyo dili wala si magoli kwenda semi finals [emoji4]Kwa yanga hii hata mtu ambae hana senti 1 anaweza kuahidi kila goli atatoa million 500 maana ni uhakika hawawezi kupata goli lolote, yani timu ilikua nyumbani ikapigiwa possession 76 kwa 24 je huko ugenini?
Si kila siku mnatunanga humu majukwaani kwamba na 45 zetu tayar sisi ni wazee???Mara hii ushakua mzeeπ Nakubali nakubali!
Njoo inbox nikuuzie yanguMabao yangekua yananunuliwa hivi wanaume wangekua matajiri kufuru....!
Akifa haoziiiiiiHautukwazi tajiri
Hauna baya tajiri
Hautukeri tajiri
ππππ
Na akioza hanukiAkifa haoziiiiii