Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 #1 Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi Mwenye nacho ataongezewa Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na ya kutosha Na amesema kuwa watakula zaidi ya 300M ya tajiri na 15M ya goli la Mama Yanga hatunaga dogo Tunaenda kumtwanga mtu kwake kwa wakeze na watoto zake GGyanga
Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi Mwenye nacho ataongezewa Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na ya kutosha Na amesema kuwa watakula zaidi ya 300M ya tajiri na 15M ya goli la Mama Yanga hatunaga dogo Tunaenda kumtwanga mtu kwake kwa wakeze na watoto zake GGyanga
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Apr 4, 2024 #2 Ewaaaa ukisikia Mabingwa ndio Yanga sasa....kule kwa kina Gabachori kaahidi nini au ni wanasimba kuzitembeza Mo ukwaji Misri kama kawaida yao ?
Ewaaaa ukisikia Mabingwa ndio Yanga sasa....kule kwa kina Gabachori kaahidi nini au ni wanasimba kuzitembeza Mo ukwaji Misri kama kawaida yao ?
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 14,949 Reaction score 54,485 Apr 4, 2024 #3 Mabao yangekua yananunuliwa hivi wanaume wangekua matajiri kufuru....!
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Apr 4, 2024 #4 Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Apr 4, 2024 #5 Tayari washaingia uoga
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 Apr 4, 2024 #6 Akiongea hivi tu, huwa safari ndio inaishia hapo... Ngoja tuone
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #7 vvm said: Ewaaaa Click to expand... Kristo alishasema,mwenye nacho ataongezewa
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #8 Ahyan said: Akiongea hivi tu, huwa safari ndio inaishia hapo... Ngoja tuone Click to expand... Acha tuone Kesho siyo mbali
Ahyan said: Akiongea hivi tu, huwa safari ndio inaishia hapo... Ngoja tuone Click to expand... Acha tuone Kesho siyo mbali
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #9 HIMARS said: Tayari washaingia uoga Click to expand... Akina nani?
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #10 dr namugari said: Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa Click to expand... Usimpangie mtu jinsi ya kutumia hela yake
dr namugari said: Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa Click to expand... Usimpangie mtu jinsi ya kutumia hela yake
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #11 ephen_ said: Mabao yangekua yananunuliwa hivi wanaume wangekua matajiri kufuru....! Click to expand... Aahaaas
ephen_ said: Mabao yangekua yananunuliwa hivi wanaume wangekua matajiri kufuru....! Click to expand... Aahaaas
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Apr 4, 2024 #12 Kila laheri chama la ushindi
E Embezzler JF-Expert Member Joined Sep 8, 2023 Posts 2,290 Reaction score 5,716 Apr 4, 2024 #13 Hizi ndio ahadi za ukweli, ahadi zenye mashiko. Sio Ile ahadi ya upande wa pili, ahadi hewa.
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #14 Evelyn Salt said: Kila laheri chama la ushindi Click to expand... Aminaaaaa
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #15 Embezzler said: Hizi ndio ahadi za ukweli, ahadi zenye mashiko. Sio Ile ahadi ya upande wa pili, ahadi hewa. Click to expand... Aahaaaaa Utawaona hapa nao watakuja kumlalamikia MO kwa kutoa ahadi kama ya Yanga
Embezzler said: Hizi ndio ahadi za ukweli, ahadi zenye mashiko. Sio Ile ahadi ya upande wa pili, ahadi hewa. Click to expand... Aahaaaaa Utawaona hapa nao watakuja kumlalamikia MO kwa kutoa ahadi kama ya Yanga
Malumbo wa ngullo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,246 Reaction score 11,011 Apr 4, 2024 #16 ....watu wenye pesa. Mimi Sina chakuahidi Yanga zaidi ya kuwatakia Kila la kheri. Na Mungu awabariki & kuwalinda
....watu wenye pesa. Mimi Sina chakuahidi Yanga zaidi ya kuwatakia Kila la kheri. Na Mungu awabariki & kuwalinda
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #17 I J NJOVU said: ....watu wenye pesa. Mimi Sina chakuahidi Yanga zaidi ya kuwatakia Kila la kheri. Na Mungu awabariki & kuwalinda Click to expand... Kikubwa tuwaombeee warudi na ushindi
I J NJOVU said: ....watu wenye pesa. Mimi Sina chakuahidi Yanga zaidi ya kuwatakia Kila la kheri. Na Mungu awabariki & kuwalinda Click to expand... Kikubwa tuwaombeee warudi na ushindi
B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 Apr 4, 2024 #18 masandawawana watakuwa masambwanda hiyo kesho usiku wa deni hauchelewi
Zouzoutz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 1,883 Reaction score 2,732 Apr 4, 2024 Thread starter #19 Benderea said: masandawawana watakuwa masambwanda hiyo kesho usiku wa deni hauchelewi Click to expand... Wanaomba kusikuche Aaahaaa
Benderea said: masandawawana watakuwa masambwanda hiyo kesho usiku wa deni hauchelewi Click to expand... Wanaomba kusikuche Aaahaaa
J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 407 Reaction score 713 Apr 4, 2024 #20 dr namugari said: Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa Click to expand... Wanaweza kufunga magoli?
dr namugari said: Hzo pesa awape bakwata wajenge hospitali kubwa Click to expand... Wanaweza kufunga magoli?