GSM mna nafasi ya kulinda utu na kumfichia aibu Manara

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220718_13513865479.jpg

Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc.

Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ng'ombe mwenyewe GSM. GSM ni kampuni inaweza kutunza utu wa huyu chawa kwa kumpa kazi zingine kuliko kudharirika kiwango hiki.

Fanyeni kama mlivyofanya kwa Ommy Dimpoz ambaye ni kijana wenu lakini amebaki na Usimba wake vizuri kabisa.

Kama Simba SC wangeamua kudanganya watakuwa wanamdanganya nani? Dunia hii ya leo unaweza kuleta uongo wa kizamani hivyo.

GSM mna nafasi ya kuficha upumbavu wa Manara kwa kumpa kazi nyingine au kumpeleka hospitali
 
View attachment 2295212

Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc.

Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri Chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ngombe mwenyewe GSM. GSM ni kampuni inaweza kutunza utu wa huyu chawa kwa kumpa kazi zingine kuliko kudhalilika kiwango hiki.

Mbona simba mnadanganya sana!
Vipi kuhusu Azizi Ki?
 
Ila Simba kuendelea kubaki Bocco ni uzembe wa hali ya juu
 
View attachment 2295212

Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc.

Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri Chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ngombe mwenyewe GSM. GSM ni kampuni inaweza kutunza utu wa huyu chawa kwa kumpa kazi zingine kuliko kudhalilika kiwango hiki.

Fanyeni kama mlivyofanya kwa Ommy Dimpoz ambaye ni kijana wenu lakini amebaki na Usimba wake vizuri kabisa.

Kama Simba SC wangeamua kudanganya watakuwa wanamdanganya nani? Dunia hii ya leo unaweza kuleta uongo wa kizamani hivyo.

GSM mna nafasi ya kuficha upumbavu wa Manara kwa kumpa kazi nyingine au kumpeleka hospitali
Utani wake anajizalilisha
 
Ismailia watakuwa na kikosi A,B,C hadi Z! Simba wanapewa kikosi F wakipasuliwa wanapewa timu ya wanawake pia wanayo!

Manara huwa ana point ukiamua kuweka ushabiki pembeni unamuelewa!
 
Takadini ana hasiraa mnoo, hataki shoga kidawa awepo palee,
Kisa ni shabiki wa lunyasi, huyu ni wa kumpuuza tyuuh
 
Mbona mnahangaika hivyo na Manara, ingekuwa vyema kama hoja ingejibiwa kwa hoja.

Kwakuwa yeye kachokoza kwa kusema kimecheza kikosi B. Basi leteni ushahidi kimecheza kikosi namba 1. La sivyo ni kuendelea mpa Manara air-time, na anajua atapata air-time kupitia mashabiki wa Simba.

Same to Ahmedy Ally, anai-provoke Yanga, mashabiki waki-respond, kwake yeye ndio milage.
 
View attachment 2295212

Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc.

Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri Chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ngombe mwenyewe GSM. GSM ni kampuni inaweza kutunza utu wa huyu chawa kwa kumpa kazi zingine kuliko kudhalilika kiwango hiki.

Fanyeni kama mlivyofanya kwa Ommy Dimpoz ambaye ni kijana wenu lakini amebaki na Usimba wake vizuri kabisa.

Kama Simba SC wangeamua kudanganya watakuwa wanamdanganya nani? Dunia hii ya leo unaweza kuleta uongo wa kizamani hivyo.

GSM mna nafasi ya kuficha upumbavu wa Manara kwa kumpa kazi nyingine au kumpeleka hospitali
Ok tumekusikia
 
Kwaiyo tukusaidieje labda?
 
Back
Top Bottom