OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc.
Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ng'ombe mwenyewe GSM. GSM ni kampuni inaweza kutunza utu wa huyu chawa kwa kumpa kazi zingine kuliko kudharirika kiwango hiki.
Fanyeni kama mlivyofanya kwa Ommy Dimpoz ambaye ni kijana wenu lakini amebaki na Usimba wake vizuri kabisa.
Kama Simba SC wangeamua kudanganya watakuwa wanamdanganya nani? Dunia hii ya leo unaweza kuleta uongo wa kizamani hivyo.
GSM mna nafasi ya kuficha upumbavu wa Manara kwa kumpa kazi nyingine au kumpeleka hospitali