Mkuu, watammuulizaje Haji wakati alishawaaminisha kuwa Simba ilikuwa haina lolote?Mshatuona limbukeni kwa kupania mechi ya Simba tu.
Maandalizi ya nje ya uwanja mnafanya mkicheza dhidi ya Simba tu, hivi hamjui mpira wa kiafrika ni fitina?
Hamkumuuliza hata Manara wenzenu walikuwa wanafanyaje?
Mo anawekeza benchi la ufundi,timu ipate matokeo aendelee kupiga hela.Mo na GSM wote matapeli tu
Ingawa Simba na yanga mashabiki wake ni misukule mpaka timu ifanye vibaya ndio washutuke.
Sports team haiongozwi hivyo.You guys needs to organize your club contemporaly.
1. Governance - Msola & Team.
2. Management - Aachiwe Kocha.
3. Financers - GSM + Other. Bring in more financers, this depending on GSM is a high risk option.
Sasa nini kinasababisha GSM wanajihusisha na mambo yasiyo wahusu? ni Kazi ya Financer kutafuta na kusajiri wachezaji? au na hao Sportspesa na wao wameleta wachezaji wao?Sports team haiongozwi hivyo.
Plus Yanga ina Sportspesa, Azam TV , Uhai and other sources. Haitegemei GSM peke yake.
Jumapili ijayo nao wanaweza wakakalishwa kwao. Football ndiyo ilivyo na wala wala hawajawazidi Yanga kwa chochote cha maana, same tactics kama walizotumia Mwadui nao wametumia hizohizo.
Yanga wanafungwa magoli yaleyale na wanaweka mabeki walewale wasiotaka kujifunza.
Hahahaaa Manara nini maana siku ya wananchi alienda kuchekea Chooni [emoji38][emoji38][emoji38]Mshenzi leo alikuwa anachekea kwenye barakoa tu...
Kenge ni kenge
AsanteeeeMo anawekeza benchi la ufundi,timu ipate matokeo aendelee kupiga hela.
Gsm anawekeza kwenye prapaganda ili auze jezi aendelee kukuza brand ya gsm.
🤣🤣🤣🤣Mshenzi leo alikuwa anachekea kwenye barakoa tu...
Kenge ni kenge
Hahaahaha!!!yaani aibu tupu!!!Sisi ni wa kuzidiwa na Biashara?
Kazi wanayo hata jua halijachomozaa..MAPEMA HII KWELI ....?
Nilisema hili kwenye group wakanitoa lakini tutaelewa tu kwamba GSM ndio tatizo paleBaada ya kuangalia mechi yetu ya leo haya ndo mawazo/maoni/maswali na mapendekezo yangu
1. GSM kupitia Hersi Said kwanini wanahusika kwenye usajili wa wachezaji? Yani Hersi ndo scout wa Yanga, tangu lini akasomea fani hiyo?
2. Kwanini GSM amekuwa mtendaji wa Yanga? Vitu kama wiki ya Mwananchi karatibu yeye na mapato kachukua yeye, mishahara analipa yeye na mechi na maandalizi yake anafanya yeye, Hii ni sawa?
Matokeo yake timu imekosa weledi kabisa. Mfano, kambi ya Morocco ilikuwa na faida gani zaidi ya utalii?
Mchezaji wa kwanza kusajiliwa anakosaje ITC?
Nguvu iliyowekwa kwenye tamasha la Mwananchi kwanini haikuwekwa kwenye kuandaa timu?
Mshatuona limbukeni kwa kupania mechi ya Simba tu.
Maandalizi ya nje ya uwanja mnafanya mkicheza dhidi ya Simba tu, hivi hamjui mpira wa kiafrika ni fitina?
Hamkumuuliza hata Manara wenzenu walikuwa wanafanyaje?
Matokeo yake kimataifa hatuna tunalolifanya zaidi ya kuaibisha nchi.
Sisi ni wa kuzidiwa na Biashara?
Miaka minne timu haina hata ubingwa wa nchi afu eti tujivunie uwepo wenu kweli?
Haya yote yanafanyika Mshindo Msola yupo. Nafasi yake kama mwenyekiti ina maana gani?
Yani Hersi ana nguvu kuliko Msola?
Bwana Msola tunaomba utupishe haraka kabla hatujachukua hatua. Wewe uko ndani ya uwezo wetu. Kwenye uchaguzi huwezi shinda .
GSM tuachie Yanga yetu. Jezi tutawapa wengine. Kuitumia timu yetu kibiashara huku matokeo uwanjani yakiwa sifuri sasa basi.
Bora timu iendeshwe kwa michango kuliko uwepo wenu.
Kashfa zenu tunazijua ila tulikuwa tumewastahi tu.
Nb: Soma hii;
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...www.jamiiforums.com
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
GSM ni mdhamini lakini kashika masuala yote ya Yanga hasa vyanzo vinavyoingiza helaHakuna wanachokifanya zaidi ya maigizo.
Waondoke mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi. Tunaelekea kutolewa kimataifa na huenda tukakosa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya tano mfululizo!
Wakiumie ndo wanakuja kusema ukweli wenyewe ,hebu washinde hata mechi moja utadhani sio waoBado mapema sana
Huyo ni Yanga lia lia ,ni mwenzakoYanga haina mwanachama wala shabiki wa ovyo ovyo kama wewe, ayo mambo kamwambie mo ndo awaachie timu yenu, unajivika uyanga unatuandikia upuuzi wako apa, tuonyeshe kadi yako ya uanachama ni ngapi, mambo ya yanga waachie wanayanga ayakuhusu propaganda za kijinga hizo kamwambie babra na kanjibhai wenu mo uko
Magazeti ya kesho utaziona heading nzuri ,ila ingekuwa Simba waandishi wangekuja na lugha za kejeliMo anawekeza benchi la ufundi,timu ipate matokeo aendelee kupiga hela.
Gsm anawekeza kwenye prapaganda ili auze jezi aendelee kukuza brand ya gsm.
Yanga ina viongozi wengi wa juu lakini wanashindwa na Babra mmojaAsanteeee
Agiza kinywaji huko ulipo nkuja lipa
Ova