GSM alipooona Mtapiga Mayowe kwenye issue ya kambi akaamua kuja na issue ya Zezeta ili muache ypte mjadili ujinga eti semaji. Hakuna kitu kinaitwa Msemaji. Unasema nn je Pale Aseno kuna msemaji?
Ujinga ujinga wa Msemaji ndio mlikua mnashadadia hamuandai team. Kisayansi mnadhani mnaweza kushinda kwa mtu mmoja mwenye njaa anapowambia ohh team kubwaa hii. Team Kubwa Manake nini?? Kama haishindi?
Mshatuona limbukeni kwa kupania mechi ya Simba tu.
Maandalizi ya nje ya uwanja mnafanya mkicheza dhidi ya Simba tu, hivi hamjui mpira wa kiafrika ni fitina?
Hamkumuuliza hata Manara wenzenu walikuwa wanafanyaje?
You guys needs to organize your club contemporaly.
1. Governance - Msola & Team.
2. Management - Aachiwe Kocha.
3. Financers - GSM + Other. Bring in more financers, this depending on GSM is a high risk option.
Sports team haiongozwi hivyo.
Plus Yanga ina Sportspesa, Azam TV , Uhai and other sources. Haitegemei GSM peke yake.
Jumapili ijayo nao wanaweza wakakalishwa kwao. Football ndiyo ilivyo na wala wala hawajawazidi Yanga kwa chochote cha maana, same tactics kama walizotumia Mwadui nao wametumia hizohizo.
Yanga wanafungwa magoli yaleyale na wanaweka mabeki walewale wasiotaka kujifunza.
Sports team haiongozwi hivyo.
Plus Yanga ina Sportspesa, Azam TV , Uhai and other sources. Haitegemei GSM peke yake.
Jumapili ijayo nao wanaweza wakakalishwa kwao. Football ndiyo ilivyo na wala wala hawajawazidi Yanga kwa chochote cha maana, same tactics kama walizotumia Mwadui nao wametumia hizohizo.
Yanga wanafungwa magoli yaleyale na wanaweka mabeki walewale wasiotaka kujifunza.
Sasa nini kinasababisha GSM wanajihusisha na mambo yasiyo wahusu? ni Kazi ya Financer kutafuta na kusajiri wachezaji? au na hao Sportspesa na wao wameleta wachezaji wao?
Mleta mada analalamika namna matendo ya GSM yanavyohasiri ufanisi wa timu, mimi nimeelezea wanatoa wapi hizo guts.
wewe unasema sports team haiongozwi hivyo?
Uliwasikia TeamViewer wameweka kambi lisboni kusakanya sign ya lonardo?
Baada ya kuangalia mechi yetu ya leo haya ndo mawazo/maoni/maswali na mapendekezo yangu
1. GSM kupitia Hersi Said kwanini wanahusika kwenye usajili wa wachezaji? Yani Hersi ndo scout wa Yanga, tangu lini akasomea fani hiyo?
2. Kwanini GSM amekuwa mtendaji wa Yanga? Vitu kama wiki ya Mwananchi karatibu yeye na mapato kachukua yeye, mishahara analipa yeye na mechi na maandalizi yake anafanya yeye, Hii ni sawa?
Matokeo yake timu imekosa weledi kabisa. Mfano, kambi ya Morocco ilikuwa na faida gani zaidi ya utalii?
Mchezaji wa kwanza kusajiliwa anakosaje ITC?
Nguvu iliyowekwa kwenye tamasha la Mwananchi kwanini haikuwekwa kwenye kuandaa timu?
Mshatuona limbukeni kwa kupania mechi ya Simba tu.
Maandalizi ya nje ya uwanja mnafanya mkicheza dhidi ya Simba tu, hivi hamjui mpira wa kiafrika ni fitina?
Hamkumuuliza hata Manara wenzenu walikuwa wanafanyaje?
Matokeo yake kimataifa hatuna tunalolifanya zaidi ya kuaibisha nchi.
Sisi ni wa kuzidiwa na Biashara?
Miaka minne timu haina hata ubingwa wa nchi afu eti tujivunie uwepo wenu kweli?
Haya yote yanafanyika Mshindo Msola yupo. Nafasi yake kama mwenyekiti ina maana gani?
Yani Hersi ana nguvu kuliko Msola?
Bwana Msola tunaomba utupishe haraka kabla hatujachukua hatua. Wewe uko ndani ya uwezo wetu. Kwenye uchaguzi huwezi shinda .
GSM tuachie Yanga yetu. Jezi tutawapa wengine. Kuitumia timu yetu kibiashara huku matokeo uwanjani yakiwa sifuri sasa basi.
Bora timu iendeshwe kwa michango kuliko uwepo wenu.
Kashfa zenu tunazijua ila tulikuwa tumewastahi tu.
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...
www.jamiiforums.com
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Hakuna wanachokifanya zaidi ya maigizo.
Waondoke mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi. Tunaelekea kutolewa kimataifa na huenda tukakosa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya tano mfululizo!
Yanga haina mwanachama wala shabiki wa ovyo ovyo kama wewe, ayo mambo kamwambie mo ndo awaachie timu yenu, unajivika uyanga unatuandikia upuuzi wako apa, tuonyeshe kadi yako ya uanachama ni ngapi, mambo ya yanga waachie wanayanga ayakuhusu propaganda za kijinga hizo kamwambie babra na kanjibhai wenu mo uko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.