GSM na Hersi mmekivuna mlichokitaka kwa Manara

GSM na Hersi mmekivuna mlichokitaka kwa Manara

Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.

Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga. Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.

Mnachokifuga ndicho hicho na bado
Kafanya nini?

Mbona kama umevurugwa
 
Binafsi sikupendezwa na namna alivyomkashifu Mo kwa kumuiga kutambulisha dada yake kwa kejeli. Utani haupaswi kufikia level ya kuwakashfu wawekezaji.

Mo ni miwekezaji kwenye michezo? kawekeza kitu gani?
 
Mimi na mpira nimeshindwa kabisa hasa huu wa Bongo watu kama huyu manara ndiyo mtihani mkubwa,zamani nikiwasikiliza yule alikuwa Ruvu na yule wa Mtibwa maarufu wazee wa Manungu hawa hata kama mpira huuelewi unapenda zile tambo zao.

Manara nilikuwa namsikiliza sikumbuki ni efm au wasafi akihojiwa kuhusu siku ya yanga na kitenge wakizungumza kitu kama alifunguliwa kifungoni sasa alivyokuwa anaongea dizain kama jamaa siyo mzima sanaa,nahisi ana shida somewhere au uswahili umemzidi!
 
Sasa mlitakaje? hamisa ana shida gani? shida ya watu wa Yanga wengi ni wazee, tatizo Manara kuachiwa kifungoni imekuwa kero kwa wengi, mlitaka afe njaa ahadhirike mjini hapa?
 
Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.

Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga. Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.

Mnachokifuga ndicho hicho na bado
Akishavuta bangi na shisha hamheshimu mtu yoyote hata babake mzazi na ukichanganya hii baba ya muziki anayotembea nayo ni shida tu
 
Manara ni kama mimi tu kwa sababu hana timu.

Yupo tayari kuhamia team yoyote muda wowote.

Haya maisha ni matamu sana hasa ukiwa yanga kipindi hiki....msinitafsiri vibaya mm ni Simba damudamu
 
No matter what next, but wanacheza kwa kiufundi zaidi...
 
Back
Top Bottom