Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Tamasha refu kama isidingo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae umelimalizaTamasha refu kama isidingo.
Zikiwa kiunoni sio jambo jema kuzionesha.Shanga ni tamaduni sio mbaya
Medulla oblongata ya jamaa haija balanceKwamba una uhakika kuwa alijua, kwa vigezo au uthibitisho upi? Kilichofanyika ni ujinga mno kuna mambo ya ovyo ovyo vinapoteza muda kama hayo. Mtu unalazimisha Mobeto Mobeto mara siondoki mpaka Pacme aje. Upuuzi mtupu mbaba mtu mzima akili za ovyo.
Labda bingwa kwenye kinena cha hamisa ...YANGA BINGWA
#YNWA
Ana matatizo ya akili tena makubwa sana....simba ilifanya vyema sana kumfukuza...Binafsi sikupendezwa na namna alivyomkashifu Mo kwa kumuiga kutambulisha dada yake kwa kejeli. Utani haupaswi kufikia level ya kuwakashfu wawekezaji.
Usa ya tabata [emoji706]Sisi wengine tupo USA, kwan amesemaje
Duuuuh...hatariUkichanganya na kuwa CD4 zinazidi kushuka kwani hafuati masharti
Ya hapa Arusha USA-riverUsa ya tabata [emoji706]
Ndio maana mashabiki wa Yanga hawapendi kabisa kwenda uwanjani kwa urahisi.Kwamba una uhakika kuwa alijua, kwa vigezo au uthibitisho upi? Kilichofanyika ni ujinga mno kuna mambo ya ovyo ovyo vinapoteza muda kama hayo. Mtu unalazimisha Mobeto Mobeto mara siondoki mpaka Pacme aje. Upuuzi mtupu mbaba mtu mzima akili za ovyo.
Kafanya nn kwani mbona unarukaruka kama maharageManara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.
Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga. Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.
Mnachokifuga ndicho hicho na bado
Watanzania bado sama kujieleza, imagine ndo upi kwa daktari unaumwa na ndo unayoa maelezo yasiyoelewela kama haya. Eleza jambo as if unayemweleza hajui nn kimetokea!Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.
Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga. Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.
Mnachokifuga ndicho hicho na bado
Nilikuwaga na Demu mmoja kule Iringa anaitwa Twilumba ndio wewe nini?Watanzania bado sama kujieleza, imagine ndo upi kwa daktari unaumwa na ndo unayoa maelezo yasiyoelewela kama haya. Eleza jambo as if unayemweleza hajui nn kimetokea!
Tumia 5W+ H, (what, where, who, why, when+ How)
Ndio mimi ila we sijui ni yupi kati ya wale mabwana 9 niliokuwa nao, au ni yule mfupi ulikuwa na kiba100?Nilikuwaga na Demu mmoja kule Iringa anaitwa Twilumba ndio wewe nini?
Hata Hamisa mwenyewe hakupenda na hata Zaylisa pia ni kama amekwenda kwa shingo upande. Tatizo Haji aliipania sana ile event kwa wiki nzima iliyopita alikuwa anatamba kuwa atafanya show ambayo kama wangeanza wao siku yao basi Simba wangeahirisha tamasha lao ili wajipange upya. Ameweka mbwembwe nyiiiingi hadi kuwaboa wana Yanga wenyewe.Manara kalazimisha sana Hamisa aje uwanjani licha ya Aziz kuonekana hataki. Manara atafutiwe tu kazi nyingine kwa bosi wake GSM
Ndiyo quul Juaan imeanza kufanya kaziUBAYA UBWELAAAA
Tamasha limekua ni kigodoro