GSM na Hersi mmekivuna mlichokitaka kwa Manara

GSM na Hersi mmekivuna mlichokitaka kwa Manara

Ndio utani wenyewe huo kama hadi makamu wa rais alisema kama wewe sio mwanachama wa klabu hii kaeleke jiwe huyo mo ni nani asihusishwe na utani?

Tatizo mnachukulia mambo siriazi sana na ni ya burudani.
Kila kitu na ukomo. Makamo wa raisi utani wa kawaida huo hauna kejeli zisizo na staha.
 
Huyo ni public figure, unadhani hapo alifika bure bure, mambo mengine ni kawaida sana.

Hizi timu hazitokaa ziache mambo ya uswahili kwa sababu wapenzi wake ni waswahili sana.
Bure au sio bure mimi sijui wewe ndio unithibitishie kuwa analipwa. Je analipwa na nani? Ili iweje na kiasi gani? Na mkataba wake unakomea wakati gani au muda gani? Ukishindwa hivyo maanake hoja yako itakuwa ipo kwenye dhana tu huna ulijuayo ila unahisi tu kuwa kuna malipo.
 
Binafsi sikupendezwa na namna alivyomkashifu Mo kwa kumuiga kutambulisha dada yake kwa kejeli. Utani haupaswi kufikia level ya kuwakashfu wawekezaji.
Huyu jamaa ni mshamba kupita maelezo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Shida ya hawa watu hawajui kubadilika na mazingira na hili nalitolea mifano kwa wote, unakumbuka sherehe za zawadi ya mziki nadhani alikuwa Mpoki kama MC, kwakuwa hawajui yuko wapi ataleta mautani ya hovyo kwenye sehemu isiyostahili akidhani kaitiwa kufanya utani wakati yuko pale kuendesha sherehe kubwa yenye kuangaliwa na watu wengi na rika tofauti mwisho wa siku anaharibu kila kitu.

Manara yeye anapenda kuongelewa, anapenda kujiona anajuwa kuliko wengine, anadhani bila yeye mambo hayaendi na zaidi yupo kuimarisha brand yake sio Yanga, Kitenge na Zembwela wanadhani wako kwenye kipindi chao hawajui hii ni sherehe tofauti, hii ni sherehe kujenga brand ya Yanga ila kipato kiongezeke. Sasa baya zaidi kuleta mambo yao ya mitandaoni kwenye sherehe kubwa ya club. Hamisa anahusu nini Yanga, sababu anatoka na mchezaji umalaya mpaka viwanjani wakati unajuwa kuna marika tofauti wanatizama game mpaka watoto. Na viongozi sielewe kama wameona sawa. Tuwe tunatofautisha mambo yetu binafsi na mambo ya public pia tujue hii harusi na huu ni msiba.
 
Hizi timu hazitokaa ziache mambo ya uswahili kwa sababu wapenzi wake ni waswahili sana.
Sio watu wote ni waswahili au kupenda mambo ya uswahilini. Watu kama nyie mnaopenda uswahili ndio wafuasi wake Manara. Mtu mwerevu anajua ni wakati gani ni wa kufanya mambo ya kiswahili. Huwezi kutaka Taasisi ya Yanga au brand ya Yanga ikue Africa nzima halafu unakuwa na mtu mwenye akili ya ki primitive aongee kwenye show unayohitaji iwe na coverage ya sehemu kubwa ya bara la Africa.

Hapo ni uongo huo, kama Yanga bado inawaza kuwekeza kwa uswahili maanake focus yapo kwa wabongo pekee wanaopenda uswahili na sio kwenda kimataifa.
Ndio maana nilisema Manara kutudhihaki kuwa wenye akili wapo wawili tu aliona mbali na sio tusi, sasa angalia ulivyokuwa na upeo wa kuangalia tu Tandale kama mwenzio Manara.
 
Tamasha la Yanga limewaumiza sana makolo kama vile wao hawakua na tamasha,leo kila ukipitia humu ni nyuzi za makolo kuiponda Yanga,wenzenu propaganda walishaacha ndio maana unaona wakaweza kulipa mln 700 kwa dube,wameweza kubakisha key players wao wote,makolo mpenzu na lameck lawi mmeshindwa kuwasajili,jengeni timu makolo
 
Aibu gani uliyoiona pale? Unajua nafasi ya Mobeto mpaka Ki kubaki Yanga? kwa mwanamke ile Nipple kuonekana ndiyo tatizo na hata walioendelea USA huko mwanamke akivawa kifua wazi wanaficha nipples tu....Sasa pale Mobeto alikuwa uchi kavaa kichupi?
Kwa mantiki ya ulichokisema, hata wangeweka bendera za ushoga ingekuwa sawa tu kwa kuwa USA zipo?
 
Yanga ni bingwa
Sema leo ndo nimejua Hamisa asipopiga makeup na nywele asiweke dawa ni wa kawaida saana hamfikii Mwantumu wangu mtoto wa Ilala
Hawa wote usiombe kukutana nao live unaweza kuomba urudishiwe mahari yako, Mi filter inawafanya hivyo hata wao huwa hawaamini ni wao wakitumia filter, nilikutana na yule wa Manara mdada hapo ndio kajipamba lakini ni mbaya hana haiba kabisa na nasema ni mbaya. Nasema mbaya sababu nafananisha na zile picha zake anazo post na uhalisia tofauti kubwa ndio maana nasema mbaya.
 
Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.

Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga. Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.

Mnachokifuga ndicho hicho na bado
hakuna chochote kilichoharibika,ni chuki yako dhidi ya manara ndio inakusumbua
 
Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.

Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga.

Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.

Mnachokifuga ndicho hicho na bado
Soma Pia: FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium


Alikamwe alikuwa uwanja wa uhuru
 
Hata Hamisa mwenyewe hakupenda na hata Zaylisa pia ni kama amekwenda kwa shingo upande. Tatizo Haji aliipania sana ile event kwa wiki nzima iliyopita alikuwa anatamba kuwa atafanya show ambayo kama wangeanza wao siku yao basi Simba wangeahirisha tamasha lao ili wajipange upya. Ameweka mbwembwe nyiiiingi hadi kuwaboa wana Yanga wenyewe.
Kazingua sana.
 
Aibu gani uliyoiona pale? Unajua nafasi ya Mobeto mpaka Ki kubaki Yanga? kwa mwanamke ile Nipple kuonekana ndiyo tatizo na hata walioendelea USA huko mwanamke akivawa kifua wazi wanaficha nipples tu....Sasa pale Mobeto alikuwa uchi kavaa kichupi?
Azizi Ki hawezi kubaki Yanga kwasababu ya ****.

Hata kwenye maongezi hakushiriki. Ana kundi kubwa nyuma yake ikiwemo management yake ya Zambro sports management na mama yake. Na kila mtu ana maslahi yake kwenye hilo deal.

Kilichombakiza ni pesa ambayo Yanga wametoa na siyo mademu
 
Kuna conflict of interest kwa kiswahili fasaha sijui ila mtanisaidia, katika siku mbli hizi kuna watu wametangaziwa biashara bure katika stage kubwa kama hii na team hazijapata kitu labda watu binafsi. Kwa Yanga kuitwa Salah mbele wakati hana nafasi yoyote lakini hiyo sio shida ila sasa kuitangaza kampuni yake Silent ocean ni maslahi ya nani? Yanga au Hajji Manara. Na yule Malaya kutangaziwa biashara yake. Na hii kwanini Rais wa Yanga na GSM ni watu wamoja na Simba ni hivyo hivyo...
 
Here are the main things I noticed about the mwananchi day;

The lack of professionalism of some of the trusted people who organized the events, especially the master of ceremonies who came from Europe, poor time management.

Sincerely, I loved Simba's events because everything was really well presented and well organised... Yanga can take a leaf out of Simba's book!

This uneducated guy should not be given any task whatsoever to help Yanga's sports club, which is on a roll in Tanzania and abroad, move forward.
 
Back
Top Bottom