Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
Hahaaaaa ni kweli jana alipania mwisho wa siku akawa anatoa boko tu.Hata Hamisa mwenyewe hakupenda na hata Zaylisa pia ni kama amekwenda kwa shingo upande. Tatizo Haji aliipania sana ile event kwa wiki nzima iliyopita alikuwa anatamba kuwa atafanya show ambayo kama wangeanza wao siku yao basi Simba wangeahirisha tamasha lao ili wajipange upya. Ameweka mbwembwe nyiiiingi hadi kuwaboa wana Yanga wenyewe.