Kila kitu na ukomo. Makamo wa raisi utani wa kawaida huo hauna kejeli zisizo na staha.Ndio utani wenyewe huo kama hadi makamu wa rais alisema kama wewe sio mwanachama wa klabu hii kaeleke jiwe huyo mo ni nani asihusishwe na utani?
Tatizo mnachukulia mambo siriazi sana na ni ya burudani.
Hahaha, Kweli.Ukiona hivyo ujue bado hajapona, bila kuizungumzia simba anakuwa hana maana pale utopoloni 😁
Bure au sio bure mimi sijui wewe ndio unithibitishie kuwa analipwa. Je analipwa na nani? Ili iweje na kiasi gani? Na mkataba wake unakomea wakati gani au muda gani? Ukishindwa hivyo maanake hoja yako itakuwa ipo kwenye dhana tu huna ulijuayo ila unahisi tu kuwa kuna malipo.Huyo ni public figure, unadhani hapo alifika bure bure, mambo mengine ni kawaida sana.
Hizi timu hazitokaa ziache mambo ya uswahili kwa sababu wapenzi wake ni waswahili sana.
Huyu jamaa ni mshamba kupita maelezo.Binafsi sikupendezwa na namna alivyomkashifu Mo kwa kumuiga kutambulisha dada yake kwa kejeli. Utani haupaswi kufikia level ya kuwakashfu wawekezaji.
Tunaiomba serikali Elimu izidi kutolewa.Mo ni miwekezaji kwenye michezo? kawekeza kitu gani?
Sio watu wote ni waswahili au kupenda mambo ya uswahilini. Watu kama nyie mnaopenda uswahili ndio wafuasi wake Manara. Mtu mwerevu anajua ni wakati gani ni wa kufanya mambo ya kiswahili. Huwezi kutaka Taasisi ya Yanga au brand ya Yanga ikue Africa nzima halafu unakuwa na mtu mwenye akili ya ki primitive aongee kwenye show unayohitaji iwe na coverage ya sehemu kubwa ya bara la Africa.Hizi timu hazitokaa ziache mambo ya uswahili kwa sababu wapenzi wake ni waswahili sana.
Kwa mantiki ya ulichokisema, hata wangeweka bendera za ushoga ingekuwa sawa tu kwa kuwa USA zipo?Aibu gani uliyoiona pale? Unajua nafasi ya Mobeto mpaka Ki kubaki Yanga? kwa mwanamke ile Nipple kuonekana ndiyo tatizo na hata walioendelea USA huko mwanamke akivawa kifua wazi wanaficha nipples tu....Sasa pale Mobeto alikuwa uchi kavaa kichupi?
Hawa wote usiombe kukutana nao live unaweza kuomba urudishiwe mahari yako, Mi filter inawafanya hivyo hata wao huwa hawaamini ni wao wakitumia filter, nilikutana na yule wa Manara mdada hapo ndio kajipamba lakini ni mbaya hana haiba kabisa na nasema ni mbaya. Nasema mbaya sababu nafananisha na zile picha zake anazo post na uhalisia tofauti kubwa ndio maana nasema mbaya.Yanga ni bingwa
Sema leo ndo nimejua Hamisa asipopiga makeup na nywele asiweke dawa ni wa kawaida saana hamfikii Mwantumu wangu mtoto wa Ilala
hakuna chochote kilichoharibika,ni chuki yako dhidi ya manara ndio inakusumbuaManara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.
Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga. Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.
Mnachokifuga ndicho hicho na bado
Alikamwe alikuwa uwanja wa uhuruManara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi Saidi na mbaya zaidi anapenda kulazimisha kujiona ndio kila kitu asitishwi wala asikii mpaka anachotaka yeye kitekelezeke.
Tukio la leo kuna wageni mbalimbali wengine walikuwa uwanjani wengine walikuwa wanafuatlia kupitia TV na mitandaoni, Manara alichokifanya hakihusiani na tukio la leo bali ni mambo binafsi ya faragha za watu sasa kumlea kwenu kuleta aibu kubwa kwa taasisi ya Yanga.
Watu walipiga kelele sana kumpa nafasi huyo kirusi lakini hamkutaka kusikia sasa leo kaamua kuharibu image ya taasisi kwa tukio linalofatuatiliwa na watu wengi kwa leo.
Mnachokifuga ndicho hicho na bado
Soma Pia: FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium
Kazingua sana.Hata Hamisa mwenyewe hakupenda na hata Zaylisa pia ni kama amekwenda kwa shingo upande. Tatizo Haji aliipania sana ile event kwa wiki nzima iliyopita alikuwa anatamba kuwa atafanya show ambayo kama wangeanza wao siku yao basi Simba wangeahirisha tamasha lao ili wajipange upya. Ameweka mbwembwe nyiiiingi hadi kuwaboa wana Yanga wenyewe.
Azizi Ki hawezi kubaki Yanga kwasababu ya ****.Aibu gani uliyoiona pale? Unajua nafasi ya Mobeto mpaka Ki kubaki Yanga? kwa mwanamke ile Nipple kuonekana ndiyo tatizo na hata walioendelea USA huko mwanamke akivawa kifua wazi wanaficha nipples tu....Sasa pale Mobeto alikuwa uchi kavaa kichupi?
Punguza makasiriko, kwenye tuzo za TFF Aziz Ki alikwenda na Mobeto.Jamaa mshamba sanaa af hajui kama uyo Azizi k ana mke na familia yake 😬
Et planned nini tofaut na mo kuita familia yake 😅Punguza makasiriko, kwenye tuzo za TFF Aziz Ki alikwenda na Mobeto.
Simpendi Manara lakini kwa hili ameupiga mwingi na ilikuwa planned.
Kwa mantiki ya ulichokisema, hata wangeweka bendera za ushoga ingekuwa sawa tu kwa kuwa USA zipo?