GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu.
Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti na Kulambwa Miguu na TFF ambao Wamewagopa msije mkawaumbua kwa Pesa mlizowapa nje ya Utaratibu.
Wallace Karia (Rais wa TFF) nilikuwa nakuheshimu, nakulinda, nakufichia Siri na nakutetea kwakuwa Wewe ni mwana Simba SC mwenzangu, ila nasubiri tu mtangaze tena kuwa Ndoa yenu na hawa Janja Janja Company (GSM) imerejea upya na wanaendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ili sasa nianze Vita vyangu rasmi nawe kwa Kukuanika na Kuuanika Upuuzi wako.
Nanyi Janja Janja Company (GSM) hangaikeni muwezavyo ili mrejee kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ila Mimi GENTAMYCINE kwa niaba ya wana Simba wote na Simba SC tunapenda Kuwataarifu kuwa haitotokea tukaja kuvaa Jezi zenye Nembo yenu ya GSM na hata katika Mechi zetu hayo Mabango yenu ya GSM tusiwe tunayakuta kwani tutayavunja na hata Kuyachoma Moto yote.
Rais wa TFF Wallace Karia ukitaka Salama yako na nisikuanike na ukaja Kuanikika vibaya achaneni na GSM kwani Makampuni yako mengi na yashawishini ila siyo hawa Janja Janja Company (GSM) na ukienda Kinyume na hilo ONYO langu Kwako na mkawarejesha kama Wadhamini Wenza nina uhakika hutoufurahia huo Urais wako hapo TFF kwani nitakupopoa na Kukuandama na bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE hunijui ila Mimi nakujua ndani nje ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu (Mwenzetu) pia.
Nimemaliza.