GSM pamoja na Kupigiwa Magoti na TFF dhaifu ya Rais Karia ili mrudi na mnarudi kweli, jueni kuwa Simba SC hatutovaa Nembo yenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu.

Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti na Kulambwa Miguu na TFF ambao Wamewagopa msije mkawaumbua kwa Pesa mlizowapa nje ya Utaratibu.

Wallace Karia (Rais wa TFF) nilikuwa nakuheshimu, nakulinda, nakufichia Siri na nakutetea kwakuwa Wewe ni mwana Simba SC mwenzangu, ila nasubiri tu mtangaze tena kuwa Ndoa yenu na hawa Janja Janja Company (GSM) imerejea upya na wanaendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ili sasa nianze Vita vyangu rasmi nawe kwa Kukuanika na Kuuanika Upuuzi wako.

Nanyi Janja Janja Company (GSM) hangaikeni muwezavyo ili mrejee kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ila Mimi GENTAMYCINE kwa niaba ya wana Simba wote na Simba SC tunapenda Kuwataarifu kuwa haitotokea tukaja kuvaa Jezi zenye Nembo yenu ya GSM na hata katika Mechi zetu hayo Mabango yenu ya GSM tusiwe tunayakuta kwani tutayavunja na hata Kuyachoma Moto yote.

Rais wa TFF Wallace Karia ukitaka Salama yako na nisikuanike na ukaja Kuanikika vibaya achaneni na GSM kwani Makampuni yako mengi na yashawishini ila siyo hawa Janja Janja Company (GSM) na ukienda Kinyume na hilo ONYO langu Kwako na mkawarejesha kama Wadhamini Wenza nina uhakika hutoufurahia huo Urais wako hapo TFF kwani nitakupopoa na Kukuandama na bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE hunijui ila Mimi nakujua ndani nje ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu (Mwenzetu) pia.

Nimemaliza.
 
Mkuu , unategemea kwa njaa waliyonayo hivi vilabu vidogo hata wakiletewa udhamini wa matapishi kwamba warambe badala ya kupewa pesa watakataa? Thubutu!
Andika kama una kichwa basi
 
Kitendo cha TFF kurudi kukaa mezani na hao jamaa inaonesha tulivyo na viongozi wa shirikisho wa hovyo wasio na ubunifu wowote wenye akili za upigaji tu, wale kina Kasongo ni matapeli watupu.
 
Kitdndo cha TFF kurudi kukaa mezani na hao jamaa inaonesha tulivyo na viongozi wa shirikisho wa hovyo wasio na ubunifu wowote wenye akili za upigaji tu, wale kina Kasongo ni matapeli watupu.
Kikao chao kati ya GSM na TFF, wanakaa kwenye majadiliano ya kukamilisha vipengere vya kuvunja mkataba rasmi, na wala hawakai kwa ajili ya kurudi kudhamini Ligi Kuu.

Hiyo ngoma imekuwa haichezeki tena, anayoyataka Gsm yafanyike, Simba SC hataki, kwahivyo TFF inabaki njia panda kwani hata waende wapi Simba SC hawezi kukubali huo mkataba wa ujanja janja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Rais wa TFF Wallace Karia ukitaka Salama yako na nisikuanike na ukaja Kuanikika vibaya achaneni na GSM kwani Makampuni yako mengi na yashawishini ila siyo hawa Janja Janja Company (GSM) na ukienda Kinyume na hilo ONYO langu Kwako na mkawarejesha kama Wadhamini Wenza nina uhakika hutoufurahia huo Urais wako hapo TFF kwani nitakupopoa na Kukuandama na bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE hunijui ila Mimi nakujua ndani nje ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu (Mwenzetu) pia.

Nimemaliza.
 
Ulikuja na mkwara wa kupambana na Manara naona kaalbino ketu kanapeta tu huku ukibaki mdomo wazi kwa kuanzisha THREADS zisizo na kichwa wala miguu.Sasa umehamia kwenye familia yako ya Makolo.Yetu macho.
 
Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu.

Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti na Kulambwa Miguu na TFF ambao Wamewagopa msije mkawaumbua kwa Pesa mlizowapa nje ya Utaratibu.

Wallace Karia (Rais wa TFF) nilikuwa nakuheshimu, nakulinda, nakufichia Siri na nakutetea kwakuwa Wewe ni mwana Simba SC mwenzangu, ila nasubiri tu mtangaze tena kuwa Ndoa yenu na hawa Janja Janja Company (GSM) imerejea upya na wanaendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ili sasa nianze Vita vyangu rasmi nawe kwa Kukuanika na Kuuanika Upuuzi wako.

Nanyi Janja Janja Company (GSM) hangaikeni muwezavyo ili mrejee kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ila Mimi GENTAMYCINE kwa niaba ya wana Simba wote na Simba SC tunapenda Kuwataarifu kuwa haitotokea tukaja kuvaa Jezi zenye Nembo yenu ya GSM na hata katika Mechi zetu hayo Mabango yenu ya GSM tusiwe tunayakuta kwani tutayavunja na hata Kuyachoma Moto yote.

Rais wa TFF Wallace Karia ukitaka Salama yako na nisikuanike na ukaja Kuanikika vibaya achaneni na GSM kwani Makampuni yako mengi na yashawishini ila siyo hawa Janja Janja Company (GSM) na ukienda Kinyume na hilo ONYO langu Kwako na mkawarejesha kama Wadhamini Wenza nina uhakika hutoufurahia huo Urais wako hapo TFF kwani nitakupopoa na Kukuandama na bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE hunijui ila Mimi nakujua ndani nje ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu (Mwenzetu) pia.

Nimemaliza.
Hapo ulipo hata mia huna, ....IST inakushinda kumiliki....sasa utashindana na misuli ya GSM?
 
Kikao chao kati ya GSM na TFF, wanakaa kwenye majadiliano ya kukamilisha vipengere vya kuvunja mkataba rasmi, na wala wakai kwa ajili ya kurudi kudhamini Ligi Kuu.

Hiyo ngoma imekuwa haichezeki tena, anayoyataka Gsm yafanyike, Simba SC hataki, kwahivyo TFF inabaki njia panda kwani hata waende wapi Simba SC hawezi kukubali huo mkataba wa ujanja janja.
Ok, wawalipe wale timu nyingine pesa zao wanazodai.
 
HOME SHOPPING CENTRE WANAPAMBANA SIMBA IVAE KOROKORO LAO BEGANI WAKTI JEZI YAKE INAFANANA NA JEZI ZA TEAM ZA SUDAN KAMA ALIVYOSEMA ZERUZERU LAO..MAAJABU HAYA TENA KWA MILIONS 3 KWA MWEZI PUMBAVU WAHED NYIE AFRI CArRIERS KATOA MA BUS MATATU NA HAKAI KWENYE JEZI .....WAJINGA WAKUBWA NYIE ETI MAKOLOKOLO HUKU KUTWA MNALILIA KOLOKOLO LENU LIVALIWE NA TEAM YA 14 KWA UBORA AFRIKA
 
Kwa jezi hizi za Vunja bei, Simba waweke nembo za GSM tena wakae kimya.
IMG-20220301-WA0010.jpg
 
HOME SHOPPING CENTRE WANAPAMBANA SIMBA IVAE KOROKORO LAO BEGANI WAKTI JEZI YAKE INAFANANA NA JEZI ZA TEAM ZA SUDAN KAMA ALIVYOSEMA ZERUZERU LAO..MAAJABU HAYA TENA KWA MILIONS 3 KWA MWEZI PUMBAVU WAHED NYIE AFRI CArRIERS KATOA MA BUS MATATU NA HAKAI KWENYE JEZI .....WAJINGA WAKUBWA NYIE ETI MAKOLOKOLO HUKU KUTWA MNALILIA KOLOKOLO LENU LIVALIWE NA TEAM YA 14 KWA UBORA AFRIKA

Wewe foka tu. Ila muda wa kuvaa nembo ukifika, wachezaji wenu watavaa tu. Maana hakuna namna.
 
Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu.

Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti na Kulambwa Miguu na TFF ambao Wamewagopa msije mkawaumbua kwa Pesa mlizowapa nje ya Utaratibu.

Wallace Karia (Rais wa TFF) nilikuwa nakuheshimu, nakulinda, nakufichia Siri na nakutetea kwakuwa Wewe ni mwana Simba SC mwenzangu, ila nasubiri tu mtangaze tena kuwa Ndoa yenu na hawa Janja Janja Company (GSM) imerejea upya na wanaendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ili sasa nianze Vita vyangu rasmi nawe kwa Kukuanika na Kuuanika Upuuzi wako.

Nanyi Janja Janja Company (GSM) hangaikeni muwezavyo ili mrejee kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League ila Mimi GENTAMYCINE kwa niaba ya wana Simba wote na Simba SC tunapenda Kuwataarifu kuwa haitotokea tukaja kuvaa Jezi zenye Nembo yenu ya GSM na hata katika Mechi zetu hayo Mabango yenu ya GSM tusiwe tunayakuta kwani tutayavunja na hata Kuyachoma Moto yote.

Rais wa TFF Wallace Karia ukitaka Salama yako na nisikuanike na ukaja Kuanikika vibaya achaneni na GSM kwani Makampuni yako mengi na yashawishini ila siyo hawa Janja Janja Company (GSM) na ukienda Kinyume na hilo ONYO langu Kwako na mkawarejesha kama Wadhamini Wenza nina uhakika hutoufurahia huo Urais wako hapo TFF kwani nitakupopoa na Kukuandama na bahati nzuri Mimi GENTAMYCINE hunijui ila Mimi nakujua ndani nje ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu (Mwenzetu) pia.

Nimemaliza.
Kwanza gsm sio janhajanja kampuni,ni big company,kuhusu kutudi kudhamini tudi wameishajibu hawatarudi,sasa huu uongo wako unautoa wapi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom