Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Nimegundua nabishana na 0 brainJibu kwa hoja acha kuharisha hapa bila sababu ya msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimegundua nabishana na 0 brainJibu kwa hoja acha kuharisha hapa bila sababu ya msingi.
Ulichoandika kinaendana na ID yako.Nimegundua nabishana na 0 brain
Huyo ni wa kuliwa tuUlichoandika kinaendana na ID yako.
Juzi kati maafisa wa bodi ya league wakati walipokua wanahojiwa wenyewe walikiri kua wao ndo waliwafata GSM kwa ajili ya kuomba udhamini.Eti TFF waliwafuata GSM,nani hajui uhuni wa GSM tangu enzi za HSM, Home Discount na sasa GSM? We all know,lengo la GSM ni kutaka kujitangaza kupitia Simba kwa mgongo wa TFF baada ya kuona kile alikitarajia kupitia Yanga hakipati. Msimamo wa Simba hatuvai nembo ya GSM na tuone TFF watafanya nini, Simba ndiyo inabeba taswira ya mpira wa Tanzania barani Africa,kama TFF wana jeuri basi waishushe daraja kama kweli wanajiamini vinginevyo hiyo pesa kama walishakula wataitapika.
Juzi kati maafisa wa bodi ya league wakati walipokua wanahojiwa wenyewe walikiri kua wao ndo waliwafata GSM kwa ajili ya kuomba udhamini.
Hekaya za Home shopping centre ni za kubumba tu,Ni kama ile barua ya jana watu walioitunga eti kua imetoka CAF.View attachment 2040005
Jambo usilolijua kamwe usijifanye mjuaji maana wanao litambua watakucheka vibaya saanaTatizo Simba hataki ligi yenye ushindani,anavyotaka yeye ligi iwe na timu zenye njaa awapige mpunga na kushinda mechi zake ana hofu timu zikiwa na hela zitasumbua ligi hatimaye yeye kukosa ubingwa. Wewe ukiona GSM kaweka bil 2.1 wewe Metl/Mo weka Bil 10 huo ndiyo uwanaume ukiona GSM wamedhamini na wewe dhamini tena kwa kuweka mpunga mrefu.Huo ndiyo ushindani wa uwekezaji kwenye soka tatizo Hindi janja sana tapeli tapeli inapenda maslahi yake binafsi sana hata wafanyakazi kwenye kampuni zake wanalia maslahi duni sana wanafanyia njaa tu hawana jinsi ila Hindi bahili sana.Katika msingi huo Yanga na Simba wakigombania mchezaji kwa mpunga bilashaka Yanga atashinda kwani mdhamini wake siyo bahili hivyo Simba wajiandae kupata tabu kwa Yanga katika misimu yote ya udhamini wa GSM na sasa naanza kuamini dirisha dogo lijalo Chama atakwenda Yanga majibu yapo wazi na wachezaji wengi wa Simba watashituka na kukimbilia Yanga kwenye hela kumbuka mpira ni ajira kama mtu analipa vizuri na kujali wachezaji wake ni wazi atapendwa na kukimbiliwa na wengi.Muda utasema
Kama wanaona limekorogeka na wameshakula hela ya Ghalib unafikiri watasema ukweli wote? Hawa TFF na Bodi ya Ligi wameboronga majibu wanayotoa ni damage control tu.Juzi kati maafisa wa bodi ya league wakati walipokua wanahojiwa wenyewe walikiri kua wao ndo waliwafata GSM kwa ajili ya kuomba udhamini.
Hekaya za Home shopping centre ni za kubumba tu,Ni kama ile barua ya jana watu walioitunga eti kua imetoka CAF.View attachment 2040005
Unatania tu najua hauko siriaz.Aliposhika GSM hata MO afurukute vipi hana cha kufanya. Jiandaeni kuvaa jezi zenye nembo ya GSM.
Jina lako ni bila bila.Mtu anazuka tu hata kuchangia 500 kwenye soka hawezi halafu anadharau udhamini wa bilioni 2? GSM ni wadhamini wa Yanga na siyo wamiliki wa Yanga, Azam ni Wadhamini wa Azam na wamiliki wa Azam Fc lakini hamkuwahi kulalamika.
Si Simba wala Yanga wote mnafaidi haki za Matangazo ya TV bila kelele. Kwa hiyo kwa Sababu ya Usimba na Yanga mnataka Mbeya City asipate ufadhili kwa kuwafuata nyie?? Walipeni Geita Gold, Police Tanzania na Biashara Mara mgao ambao wangeupata toka GSM basi!!!