GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

Status
Not open for further replies.
Juzi kati maafisa wa bodi ya league wakati walipokua wanahojiwa wenyewe walikiri kua wao ndo waliwafata GSM kwa ajili ya kuomba udhamini.

Hekaya za Home shopping centre ni za kubumba tu,Ni kama ile barua ya jana watu walioitunga eti kua imetoka CAF.
 

Hizi ni porojo za TFF kuficha udhaifu wao, mabango yameondolewa na logo haivaliwi na hakuna kitu TFF wataifanya Simba.
 
Eti Puma na Nike!

Ujinga mtupu kwa kudanganywa na wachambuzi 0 brain alafu na wewe unabeba bila kutafakari.
Wewe una pewa facts ajabu unajibu ushuzi wa kitimoto.
 
Hovyo kabisa.Bilashaka hofu na njaa vinakusumbua kumbuka GSM ni kampuni.
Mkataba ni majadiliano na maridhiano kama haukujadiliwa simba wanauridhiaje..? Upo gizani bado
 
Jambo usilolijua kamwe usijifanye mjuaji maana wanao litambua watakucheka vibaya saana
 
Kama wanaona limekorogeka na wameshakula hela ya Ghalib unafikiri watasema ukweli wote? Hawa TFF na Bodi ya Ligi wameboronga majibu wanayotoa ni damage control tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jina lako ni bila bila.

Kwahiyo sheria ,taratibu a kanuni kwako hazina maana yoyote?
 
Jina lako ni bila bila.

Kwahiyo sheria ,taratibu na kanuni kwako hazina maana yoyote?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…