Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.
Baadhi ya mambo ambayo GSM wamekua wakiyafanya zaidi na nje ya mkataba ni pamoja na kusajili wachezaji (Niyonzima, Morison, Lamine Moro na Nchimbi). Pia kulipa mishahara, kulipa gharama za kambi, kulipa nauli za ndege pamoja na kutoa bonasi kwa kila mechi ambazo timu ilishinda ikiwemo ile Mil. 200 waliyoahidiwa dhidi ya Simba.
Wakati huo huo kuna taarifa za chini chini kuwa Papii Tshishimbi amesaini mkataba wa awali na Simba na ni swala mda tu atatambulishwa rasimi pale Msimbazi.
Inaelekea uongozi Yanga chini ya Msolwa na Mwakalebela unashida kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app