GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.

Baadhi ya mambo ambayo GSM wamekua wakiyafanya zaidi na nje ya mkataba ni pamoja na kusajili wachezaji (Niyonzima, Morison, Lamine Moro na Nchimbi). Pia kulipa mishahara, kulipa gharama za kambi, kulipa nauli za ndege pamoja na kutoa bonasi kwa kila mechi ambazo timu ilishinda ikiwemo ile Mil. 200 waliyoahidiwa dhidi ya Simba.

Wakati huo huo kuna taarifa za chini chini kuwa Papii Tshishimbi amesaini mkataba wa awali na Simba na ni swala mda tu atatambulishwa rasimi pale Msimbazi.

Inaelekea uongozi Yanga chini ya Msolwa na Mwakalebela unashida kubwa sana.

762245B0-3413-4C15-B240-B3C28FC1F6EB.jpeg
2462C6D0-77DA-41EE-AB09-BE9F005C01AB.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili lilikuwa suala la muda tu, asilimia kubwa ya viongozi pale Yanga ni wanasiasa na nia yao kubwa ni kupata umaarufu kwa kuitumia Yanga ili iwasaidie kisiasa na si vingine. GSM kuisaidia Yanga kunazima ndoto zao.
 
Mfano kina mwakalibela, wanachama wa yanga wajiongeze la sivyo msimu ujao timu lao linaenda kushuka daraja...
hili lilikuwa swala la muda tu. Asilimia kubwa ya viongozi pale yanga ni wanasiasa na nia yao kubwa ni kupata umaarufu kwa kuitumia yanga ili iwasaidie kisiasa na si vingine. GSM kuisaidia yanga kunazima ndoto zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili lilikuwa swala la muda tu....asilimia kubwa ya viongozi pale yanga ni wanasiasa...na nia yao kubwa ni kupata umaarufu kwa kuitumia yanga ili iwasaidie kisiasa na si vingine....GSM kuisaidia yanga kunazima ndoto zao..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nao hao viongozi walijisahau! Ukibebwa mgongoni, usikunje miguu! Walikuwa wanatakiwa watafute ufumbuzi wa kudumu. Ile kutokea mtu/taasisi wa KUJITOLEA kwa kipindi fulani, ndio wakajisahau kabisaaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesema wanamsajili was umri mdogo. Pia wanamtaka "yosso" Kelvin Yondani.

Combination ya Pappy na Mkude sioni ikifanikiwa. Similar type of players.
Simba nayo hovyo tu huyo yandani anaelekea ukingoni.
Tshishimbi ana miaka mingapi kama si 28+
 
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.

Baadhi ya mambo ambayo GSM wamekua wakiyafanya zaidi na nje ya mkataba ni pamoja na kusajili wachezaji(Niyonzima,Morison, lamin Moro,na Nchimbi).Pia kulipa mishahara,kulipa gharama za kambi,kulipa nauli za ndege pamoja na kutoa bonasi kwa kila mechi ambazo timu ilishinda ikiwemo ile Mil.200 waliyoahidiwa dhidi ya Simba.

Wakati huo huo kuna taarifa za chini chini kuwa Papii Shishimbi amesaini mkataba wa awali na Simba na ni swala mda tu atatambulishwa rasimi pale Msimbazi.
Inaelekea uongozi Yanga chini ya Msolwa na Mwakalebela unashida kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa msemaji wa Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini wengine bwana

Kila utapojaribu kumsaidia yeye anahisi kwamba unataka kumuibia hicho hicho kidogo alichonacho

Ujue sisi yanga ndio maana simba wanatuita gongowazi kwa ujinga kama huu

Taarifa hii ikiwa rasmi sijui yule jamaa lialia mzee wa utopolo atasema nini
 
Back
Top Bottom