Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Kaka kama hujui mambo uliza aseee.....Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...
Unajiabisha mtu mzima unavyodanganya.
Simbà ni kampuni MO anamiliki asilimia 49 za hiyo kampuni so akiondoka atauza...
Sent using Jamii Forums mobile app