Tetesi: GSM wanavyomtumia Hamisa Mobeto kurudisha mamilioni atakayopewa Aziz Ki

Ujinga mtupu hata tu kufikiria hili, Hamisa yupo na mkubwa pale Yanga achaneni na mapicha picha ya kiki za mitandaoni, Hamisa anapenda kiki Aziz nae ni walewale anapenda mitandao kupita kiasi.

Ikiniwia vyema nitawaletea exclusive ya anayetoka naye, anzeni kumuita Mrs. Yanga kabisa.
Hahahahaha..halafu watu wanapondq masingle maza ,wakati ndio wako ktk soko sasa hz
 
Ni kweli kabisa!
Nimeona jinsi Hamisa Mobetho anavyolitumia jukwaa kumuweka karibu Aziz ki katika matukio matatu viwanjani hivi majuzi na ieleweke kwamba GSM na JK wanaitumia Yanga kuwa karibu na CCM Samia ili watimize malengo yao kule Bandarini.

na majuzi.
Ni timing za Mobeto tu mwenyewe tu ashajua Aziz ki anasaini mkataba mpya GSM hawahusiki, aziz ki akae mbali na hivi vidada vya mjini vinavyoishi kwa kudanga(tatizo mwanaume wa kiafrika akipata hela kwenye suala la ngono hauwezi kumshauri chochote)
 
Hata ungekuwa wewe ndugu yangu ungefanyaje,asipoangalia hela zote ataziacha Tanzania
 
Ina maana Azizi K hustle zake zote anakubali kutoa fungu lake kwa hawa wanawake wa kiswahili.

If yes basi huyo Dogo atakuwa hajitambui.
 
Aziz Ki anataka Dollar 500k za marekani ili asaini hivi Kweli atamuonga hamisa Dollar 250k? Zaidi ya million 600 za kibonge??

Watanzania wanahitaji elimu kuliko oxygen [emoji16][emoji2960]
 
Ujinga mtupu hata tu kufikiria hili, Hamisa yupo na mkubwa pale Yanga achaneni na mapicha picha ya kiki za mitandaoni, Hamisa anapenda kiki Aziz nae ni walewale anapenda mitandao kupita kiasi.

Ikiniwia vyema nitawaletea exclusive ya anayetoka naye, anzeni kumuita Mrs. Yanga kabisa.
Kutoka chanzo nyeti kiasi Kwamba wakituambia kesho tunakufa tutaanza kufanya sala ya Toba [emoji2957][emoji2960]
Usisahau kunitag Madam
 
Ujinga mtupu hata tu kufikiria hili, Hamisa yupo na mkubwa pale Yanga achaneni na mapicha picha ya kiki za mitandaoni, Hamisa anapenda kiki Aziz nae ni walewale anapenda mitandao kupita kiasi.

Ikiniwia vyema nitawaletea exclusive ya anayetoka naye, anzeni kumuita Mrs. Yanga kabisa.
Unadhani watumie njia gani itakayo kufurahisha
 
Back
Top Bottom