Tetesi: GSM wanavyomtumia Hamisa Mobeto kurudisha mamilioni atakayopewa Aziz Ki

Kwa io unataka kusema hamisa akimchuna Aziz k lets say ka milioni 5 anatakiwa kukapeleka GSM?
Milioni 5?
Mkuu watu wanafirisika kabisa.
9724.jpg
 
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.

GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.

Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
😂😀👍😅Sasa Hivi Aziz Maji Ataita Mmaa
 
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.

GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.

Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
Gs vp ina D?
 
Aziz Ki anataka Dollar 500k za marekani ili asaini hivi Kweli atamuonga hamisa Dollar 250k? Zaidi ya million 600 za kibonge??

Watanzania wanahitaji elimu kuliko oxygen [emoji16][emoji2960]
Wema alikula milioni 400 out of 500ml za Idris Sultan
 
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.

GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.

Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
Una uhakika gani hadi kuandika tuhuma nzito kama hii, na umetaja kabisa majina ya watu!! Huu ujuaji utamponza mtu siku, imagine mobeto au GSM akienda polisi, si utaisha wewe maana pesa ya fine yenyewe labda hauna, ya nini kuleta ujuaji uishie jela
 
Kama shigongo hajawahi kushitakiwa basi relax,uhuru umexidi nchi hii usiogope dogo
 
Ipo siku mtu atatumika kama mfano, mnaowachochea ni binadamu pia. Atakuja kukomolewa mtu kisheria na hakuna yeyote atakayekuja kumsaidia, ninaahidi kumtolea uzi uku, topic nadhan itakuwa *Mwanakulitafuta mwanza...
 
Acha uoga wewe dhanbi ni kuua tu,umbea hauna posho wala adhabu tuliza boli
 
Mahiii wanadai eti long distance ilikuwa changamoto wakaachana but ni marafiki wazuri tu.
Kwani wakati wanaanza hawakulijua hilo?

Hamisa nampenda kile kishindo nilishangilia mwenzenu tumepata lishemeji la maana, loh!
La maana kweli pande la mubaba, shemeji la taifa limepanda hewani kiasi kwamba kaka zetu wanaonekana mbilikimo 😹

Ila hamisa nae atakua sio mtamu, ako na shida bana anaachika kila siku????
 
Back
Top Bottom