Tetesi: GSM wanavyomtumia Hamisa Mobeto kurudisha mamilioni atakayopewa Aziz Ki

GSM hategemei hata project ya yanga, Wana hela more than they can remember, Hawa wamejikita kwenye mpira kulinda maslahi yao tu

Kwa io unataka kusema hamisa akimchuna Aziz k lets say ka milioni 5 anatakiwa kukapeleka GSM?
Ni kichaa tu anaeweza kuamini maneno ya mleta mada.
 
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.

GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.

Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
Bustani ya kufugia nywele!
 
La maana kweli pande la mubaba, shemeji la taifa limepanda hewani kiasi kwamba kaka zetu wanaonekana mbilikimo 😹

Ila hamisa nae atakua sio mtamu, ako na shida bana anaachika kila siku????
We nawe Evelynsalt unaulizia usafi choo cha uma/stendi!?
Dada zetu hawa ni gari chakavu ilopigwa rangi ikang'ara ila mileage imekwisha na engine imeshushwa.
 
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.

GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.

Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe......
 
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.

GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.

Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
D 2 si naweza kwenda chuo?
 
Ujinga mtupu hata tu kufikiria hili, Hamisa yupo na mkubwa pale Yanga achaneni na mapicha picha ya kiki za mitandaoni, Hamisa anapenda kiki Aziz nae ni walewale anapenda mitandao kupita kiasi.

Ikiniwia vyema nitawaletea exclusive ya anayetoka naye, anzeni kumuita Mrs. Yanga kabisa.
Ubuyu wako haujawahi kuwa chumvi nyingi we mrembo wacha tuusubiri
 
Ikiniwia vyema nitawaletea exclusive ya anayetoka naye
Yule dogo anajazwa tu mapepo na Hamisa, ungejua kilichomuangusha pale kwa Mkapa hadi akapoteza fahamu wallah ungeanzisha maombezi ya kumkomboa kijana wetu maana kwa kutoka na Hamisa huyo dogo ni mfu anayetembea.

Usihangaike kutaja wana Yanga tunamjua hakika 😂
 
GSM hategemei hata project ya yanga, Wana hela more than they can remember, Hawa wamejikita kwenye mpira kulinda maslahi yao tu

Kwa io unataka kusema hamisa akimchuna Aziz k lets say ka milioni 5 anatakiwa kukapeleka GSM?
Akikujibu nitag
 
Huwezi kuelewa wewe.
 
Huwezi kuelewa wewe.
Kuelewa nini sasa? Gsm wapo yanga kwa political reasons tu na kulinda biashara zao, hawawezi kutegemea hata Senti kwenye ligi ambayo mshindi wa kombe anapewa milioni 100
 
Back
Top Bottom