Tetesi: GSM wanavyomtumia Hamisa Mobeto kurudisha mamilioni atakayopewa Aziz Ki

Hahahahaha..halafu watu wanapondq masingle maza ,wakati ndio wako ktk soko sasa hz
 
Ni timing za Mobeto tu mwenyewe tu ashajua Aziz ki anasaini mkataba mpya GSM hawahusiki, aziz ki akae mbali na hivi vidada vya mjini vinavyoishi kwa kudanga(tatizo mwanaume wa kiafrika akipata hela kwenye suala la ngono hauwezi kumshauri chochote)
 
Hata ungekuwa wewe ndugu yangu ungefanyaje,asipoangalia hela zote ataziacha Tanzania
 
Ina maana Azizi K hustle zake zote anakubali kutoa fungu lake kwa hawa wanawake wa kiswahili.

If yes basi huyo Dogo atakuwa hajitambui.
 
Aziz Ki anataka Dollar 500k za marekani ili asaini hivi Kweli atamuonga hamisa Dollar 250k? Zaidi ya million 600 za kibonge??

Watanzania wanahitaji elimu kuliko oxygen [emoji16][emoji2960]
 
Kutoka chanzo nyeti kiasi Kwamba wakituambia kesho tunakufa tutaanza kufanya sala ya Toba [emoji2957][emoji2960]
Usisahau kunitag Madam
 
Unadhani watumie njia gani itakayo kufurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…