Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ni kichaa tu anaeweza kuamini maneno ya mleta mada.GSM hategemei hata project ya yanga, Wana hela more than they can remember, Hawa wamejikita kwenye mpira kulinda maslahi yao tu
Kwa io unataka kusema hamisa akimchuna Aziz k lets say ka milioni 5 anatakiwa kukapeleka GSM?
ππ mmemfanya nn mzee wetu?
Bustani ya kufugia nywele!Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.
GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.
Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
We nawe Evelynsalt unaulizia usafi choo cha uma/stendi!?La maana kweli pande la mubaba, shemeji la taifa limepanda hewani kiasi kwamba kaka zetu wanaonekana mbilikimo πΉ
Ila hamisa nae atakua sio mtamu, ako na shida bana anaachika kila siku????
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe......Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.
GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.
Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
Kwa maana hiyo Aziz ki ni boya
D 2 si naweza kwenda chuo?Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.
GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.
Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
Ubuyu wako haujawahi kuwa chumvi nyingi we mrembo wacha tuusubiriUjinga mtupu hata tu kufikiria hili, Hamisa yupo na mkubwa pale Yanga achaneni na mapicha picha ya kiki za mitandaoni, Hamisa anapenda kiki Aziz nae ni walewale anapenda mitandao kupita kiasi.
Ikiniwia vyema nitawaletea exclusive ya anayetoka naye, anzeni kumuita Mrs. Yanga kabisa.
Yule dogo anajazwa tu mapepo na Hamisa, ungejua kilichomuangusha pale kwa Mkapa hadi akapoteza fahamu wallah ungeanzisha maombezi ya kumkomboa kijana wetu maana kwa kutoka na Hamisa huyo dogo ni mfu anayetembea.Ikiniwia vyema nitawaletea exclusive ya anayetoka naye
πππ
Akikujibu nitagGSM hategemei hata project ya yanga, Wana hela more than they can remember, Hawa wamejikita kwenye mpira kulinda maslahi yao tu
Kwa io unataka kusema hamisa akimchuna Aziz k lets say ka milioni 5 anatakiwa kukapeleka GSM?
Huwezi kuelewa wewe.GSM hategemei hata project ya yanga, Wana hela more than they can remember, Hawa wamejikita kwenye mpira kulinda maslahi yao tu
Kwa io unataka kusema hamisa akimchuna Aziz k lets say ka milioni 5 anatakiwa kukapeleka GSM?
Kuelewa nini sasa? Gsm wapo yanga kwa political reasons tu na kulinda biashara zao, hawawezi kutegemea hata Senti kwenye ligi ambayo mshindi wa kombe anapewa milioni 100Huwezi kuelewa wewe.