Guardiola ameiumbua E.P.L

Guardiola ameiumbua E.P.L

Kwakuwa umeandika kishabiki zaidi na mahaba mazito kwa La liga, naomba nikukumbushe kuwa kuna mzunguko wa pili bado haujaanza, kumbuka msimu uliopita.

Kuhusu ubora wa Guardiola, kwangu mimi ni mtu anayetembelea michoro ya wenzake na kutegemea pesa zaidi. Timu zote alikutwa zimesukwa vyema, ni kama Vicente Del Bosque alipopewa Spain akatwaa ndoo kubwa, kazi yake kubwa ilikuwa nini?
Kutembelea michoro ya wenzio na ukafanikiwa kushinda ni ujanja ambao wengine hawana.
Sitaki kuamini kuwa leo ukimpa Salum Mayanja timu ya Real Madrid afundishe atafanikiwa kutoa vipigo na kuchukua ubingwa eti kwakuwa tu amekuta timu iliyoundwa vizuri sana. Sidhani kama ni sahihi kuamini kuwa kocha yeyote angekifundisha hicho kikosi cha Spain unachokisema angeweza kuchukua ubingwa Hatahivyo,kama man city angelikuwa ndie bingwa wa msimu uliopita chini ya kocha mwingine labda ungetushawishi kuwa guardiola msimu huu anafaidika na timu iliyoundwa na kocha mwingine msimu uliopita.
 
Mimi Ninapoambiwa Gurdiola Kafanya Maajabu Ujerumani Huwa Ninauliza Hata Maajabu Kayafanyia Ujerumani Gani??
Hivi Luna Kocha Aliyewahi Kuifundisha Bayern Asichukue Kombe la Bundes Liga??
Sasa Kwanini Alipochukua Gurdiola ilikuwa Maajabu lakini Hawa Wengine Si Maajabu?
Hebu Tupeni Gurdiola alichokifanya Kipya ambacho Hata Yule Klinsman Hajakifanya Ni Pale Ujerumani Ni Nini??? Je Alichukuwa Japo UCL?

Na Kuhusu EPL jamani Ukocha Haupimwi Kwa Msimu Mmoja!!!
Hata Wenger Alimaliza Msimu Mzima Bila Ya Kufungwa na Hatukusema Wenger Ana Maajabu Coz tulijua tu Kuwa Atapotea!!! Lakini Kwa Gurdiola Kumaliza Round ya Kwanza tu Bila Ya Kufungwa eti imeshakuwa Maajabu!!! Sasa Ya Wenger Msimu Mzima tuite Nini???

Na Unaposema EPL Ni ligi Ya Timu Mmoja Kisa Haijafungwa nadhani Bado Hujaijua Tafsiri Halisi ya "LIGI YA TIMU MOJA" au "LIGI YA TIMU MBILI"...

LIGI YA TIMU MBILI: Ni hile Ligi Ambayo Kwa Asilimia 98% Kombe Wanapishana Timu MBILI tu! Pengine Kwenye Misimu 15 Ndiyo inatokea Timu nyengine Kama Bahati Mbaya inachukua Kombe.
Mfani Wa Ligi Hiyo Ni LA LIGA, au Kwa Hapa Kwetu Ni VPL (Kwa Simba na Yanga).

LIGI YA TIMU MOJA: Ni Ligi Ambayo Ni Timu Mmoja tu inayochukua Kombe BACH-TO-BACK..
Ligi Hii Timu Yaweza Chukua Kombe Mara 6 au 7 mfululizo na ikatokea timu MOJA nyengine ikachukua Kombe Mara moja kama bahati mbaya tu hivi baadae timu hiyo ikapotea. Kwenye Ligi Hii Timu Hiyo moja huwa haina Mpinzani.
Mfano Wa Ligi Hizi za Timu moja Ninazifahamu Ligi Mbili tu:
1) FRANCE LEAGUE 1 (PSG)
2) BUNDES LIGA (BAYERN)

Sasa Kuhusi EPL Ni Unazi na Ujinga Kusema Ni Ligi Ya Timu Moja Wakati Bingwa Mtetezi na CHELSEA na Anaeongoza Ligi Ni MAN CITY.

Hebu Weka Unazi Pembeni Unapoongea Maswala Ya Soka...!

Subiri Man City Abebe Kombe la EPL Mara angalau 5 mfululizo hapo utakuwa na Haki Ya Kusema EPL Ni Ligi ya Timu Moja.

KAMA HUJANIELEWA BASI SINA CHA KUKUSAIDIA
 
Na Leo Tayari Huyo Gurdiola Ameshatoka Sare na RELEGATOR ambaye anawania Asishuke Daraja!

Hana Anachokifanya Ambacho ARSENE WENGER hajakifanya Na INVINCIBLE Yake 2004.

Kwahiyo Kumsifia Gurdiola Kuwa Hajafungwa Nikuwa Huenda Hamukuijuwa EPL below 2009 na Ndiyomana Munahisi Gurdiola Kafanya Kitu Kigeni ambacho Hakijawahi Kufanywa.

NITAKUJA TENA KWENYE UZI HUU JANUARY 14
 
Kuvurugiwa kuko pale pale Epl siyo ya Mchezomchezo na niliwaambia watakaomvurugia ni hizi timu za hawa makocha waingereza......Na bado atapigwa tu
 
Hiyo ndiyo Epl...huwezi tabiri nani Utamfunga nani atakuacha salama..Saha man of the Match
 
Mkuu umetema madini
Unaijua kuichambua soka kama Gary Lineker
By the way, Mzee mzima kakoswa almanusura ale kichapo na Crystal Palace na De Bruine kaumia
 
Ukiangalia uelekeo/trend inabidi MTU ukubali kuwa man city wameanza kukalia kuti kavu! Mwanzoni walikuwa wanabamiza goli tano, kisha goli zikashuka hadi 2, baadaye ushindi ukawa unapatikana kwa goli 1 na Leo ushindi umeyeyuka kaambulia sare ya bila bila tena na timu iliyo nje ya sita bora! Tutegemee mechi ijayo atachezea kichapo!! Tena anaweza kuchezea kichapo na timu ya kawaida tu!! Hakuna aliyedhani crystal palace watampokonya pointi!!!!
 
Tangu 2005 mpaka hii 2017/2018 timu ngapi zimechukua EPL?.

Tangu 2005 Mpaka 2017/2018 timu ngapi zimechukua Laliga?.
 
Na Leo Tayari Huyo Gurdiola Ameshatoka Sare na RELEGATOR ambaye anawania Asishuke Daraja!

Hana Anachokifanya Ambacho ARSENE WENGER hajakifanya Na INVINCIBLE Yake 2004.

Kwahiyo Kumsifia Gurdiola Kuwa Hajafungwa Nikuwa Huenda Hamukuijuwa EPL below 2009 na Ndiyomana Munahisi Gurdiola Kafanya Kitu Kigeni ambacho Hakijawahi Kufanywa.

NITAKUJA TENA KWENYE UZI HUU JANUARY 14
Tatizo mlisema Pep haiwezi EPL je nikweli haiwezi?.
 
Ukiangalia uelekeo/trend inabidi MTU ukubali kuwa man city wameanza kukalia kuti kavu! Mwanzoni walikuwa wanabamiza goli tano, kisha goli zikashuka hadi 2, baadaye ushindi ukawa unapatikana kwa goli 1 na Leo ushindi umeyeyuka kaambulia sare ya bila bila tena na timu iliyo nje ya sita bora! Tutegemee mechi ijayo atachezea kichapo!! Tena anaweza kuchezea kichapo na timu ya kawaida tu!! Hakuna aliyedhani crystal palace watampokonya pointi!!!!
Kipindi anachezea kichapo je nyie mtaweza kutofungwa au kupoteza point?.
 
Kuvurugiwa kuko pale pale Epl siyo ya Mchezomchezo na niliwaambia watakaomvurugia ni hizi timu za hawa makocha waingereza......Na bado atapigwa tu
Ligi gani ambayo timu hazivurugiwi?.Mbona EPL ndio ligi yenye gap kubwa kati ya mshindi wa kwanza na pili.
 
Mimi Ninapoambiwa Gurdiola Kafanya Maajabu Ujerumani Huwa Ninauliza Hata Maajabu Kayafanyia Ujerumani Gani??
Hivi Luna Kocha Aliyewahi Kuifundis Yule Klinsman Hajakifanya Ni Pale Ujerumani Ni Nini??? Je Alichukuwa Japo UCL?

Na Kuhusu EPL jamani Ukocha Haupimwi Kwa Msimu Mmoja!!!
Hata Wenger Alimaliza Msimu Mzima Bila Ya Kufungwa na Hatukusema Wenger Ana Maajabu Coz tulijua tu Kuwa Atapotea!!! Lakini Kwa Gurdiola Kumaliza Round ya Kwanza tu Bila Ya Kufungwa eti imeshakuwa Maajabu!!! Sasa Ya Wenger Msimu Mzima tuite Nini???

Na Unaposema EPL Ni ligi Ya Timu Mmoja Kisa Haijafungwa nadhani Bado Hujaijua Tafsiri Halisi ya "LIGI YA TIMU MOJA" au "LIGI YA TIMU MBILI"...

LIGI YA TIMU MBILI: Ni hile Ligi Ambayo Kwa Asilimia 98% Kombe Wanapishana Timu MBILI tu! Pengine Kwenye Misimu 15 Ndiyo inatokea Timu nyengine Kama Bahati Mbaya inachukua Kombe.
Mfani Wa Ligi Hiyo Ni LA LIGA, au Kwa Hapa Kwetu Ni VPL (Kwa Simba na Yanga).

LIGI YA TIMU MOJA: Ni Ligi Ambayo Ni Timu Mmoja tu inayochukua Kombe BACH-TO-BACK..
Ligi Hii Timu Yaweza Chukua Kombe Mara 6 au 7 mfululizo na ikatokea timu MOJA nyengine ikachukua Kombe Mara moja kama bahati mbaya tu hivi baadae timu hiyo ikapotea. Kwenye Ligi Hii Timu Hiyo moja huwa haina Mpinzani.
Mfano Wa Ligi Hizi za Timu moja Ninazifahamu Ligi Mbili tu:
1) FRANCE LEAGUE 1 (PSG)
2) BUNDES LIGA (BAYERN)

Sasa Kuhusi EPL Ni Unazi na Ujinga Kusema Ni Ligi Ya Timu Moja Wakati Bingwa Mtetezi na CHELSEA na Anaeongoza Ligi Ni MAN CITY.

Hebu Weka Unazi Pembeni Unapoongea Maswala Ya Soka...!
Subiri Man City Abebe Kombe la EPL Mara angalau 5 mfululizo hapo utakuwa na Haki Ya Kusema EPL Ni Ligi ya Timu Moja.

KAMA HUJANIELEWA BASI SINA CHA KUKUSAIDIA
Unapoambiwa Pep Guardiola kafanya maajabu Hispania,Ujerumani na sasa Uingereza usibishe jaribu kufatilia.
Tukianza na Hispania aliweka rekodi ya kushinda mechi 15 mfululizo za La Liga msimu wa 2010/2011.Alipoenda Ujerumani akaweka rekodi ya kushinda mechi 19 mfululizo za Bundesliga msimu wa 2013/2014.Amekuja Uingereza ameweka rekodi ya kushinda mechi 18 mfululizo za EPL msimu huu.
Mtu mmoja anashikilia rekodi katika Ligi tatu kubwa duniani bado unasema huoni maajabu yake? au kwako wewe maana halisi ya neno "maajabu" ni nini?
 
Na Leo Tayari Huyo Gurdiola Ameshatoka Sare na RELEGATOR ambaye anawania Asishuke Daraja!

Hana Anachokifanya Ambacho ARSENE WENGER hajakifanya Na INVINCIBLE Yake 2004.
Kwahiyo Kumsifia Gurdiola Kuwa Hajafungwa Nikuwa Huenda Hamukuijuwa EPL below 2009 na Ndiyomana Munahisi Gurdiola Kafanya Kitu Kigeni ambacho Hakijawahi Kufanywa.
NITAKUJA TENA KWENYE UZI HUU JANUARY 14
Bingwa mtetezi wa EPL,Chelsea alifungwa na Crystal Palace na akafungwa tena na West Ham ambao wapo kwenye zone ya kushuka daraja.Liverpool alisuluhu nyumbani kwake,Anfield dhidi ya Westbrom anaeshika mkia EPL.Kwahiyo sidhani kama ni matokeo ya ajabu sana aliyopata Man City leo dhidi ya Crystal Palace na kama ni mfuatiliaji mzuri wa EPL utakubaliana nami kwamba timu zilizo katika hatari ya kushuka daraja huwa zinakaza sana mzunguko wa pili especially wanapokuwa kwao.
Arsene Wenger na invicibles yake ya 2003/2004 hakuweza kushinda mechi 18 mfululizo za EPL kitu ambacho Guardiola amekifanya kwahiyo kuna kitu ambacho Guardiola amekifanya na Wenger hakukifanya katika invincibles yake.
 
Back
Top Bottom