RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Tatizo mlisema Pep hawezi kusumbua EPL je nauliza Pep hasumbui EPL?...huu huu uzi kuna bwege aliropoka kuwa Guadiola hakuna wa kumsimamisha
Amesumbua kwa nafasi yake...na crystal palace na nafasi za wengine kusumbua ndiyo hizi zimefika...Tatizo mlisema Pep hawezi kusumbua EPL je nauliza Pep hasumbui EPL?.
Maana hata huko Laliga na Bundasiliga alikuwa anafungwa.
You mean a wizard?He is a witch trust me!!
kwani kaiweza!?..ndo January na ana majeruhi watatu muhimuTatizo mlisema Pep haiwezi EPL je nikweli haiwezi?.
Wewe huna akiliKwakuwa umeandika kishabiki zaidi na mahaba mazito kwa La liga, naomba nikukumbushe kuwa kuna mzunguko wa pili bado haujaanza, kumbuka msimu uliopita.
Kuhusu ubora wa Guardiola, kwangu mimi ni mtu anayetembelea michoro ya wenzake na kutegemea pesa zaidi. Timu zote alikutwa zimesukwa vyema, ni kama Vicente Del Bosque alipopewa Spain akatwaa ndoo kubwa, kazi yake kubwa ilikuwa nini?
Watu wengine mnachekesha kwani hao majeruhi ndio wameanza leo?.Na mbona wote walikuwa first 11 eleven.kwani kaiweza!?..ndo January na ana majeruhi watatu muhimu
Unapoambiwa Pep Guardiola kafanya maajabu Hispania,Ujerumani na sasa Uingereza usibishe jaribu kufatilia.
Tukianza na Hispania aliweka rekodi ya kushinda mechi 15 mfululizo za La Liga msimu wa 2010/2011.Alipoenda Ujerumani akaweka rekodi ya kushinda mechi 19 mfululizo za Bundesliga msimu wa 2013/2014.Amekuja Uingereza ameweka rekodi ya kushinda mechi 18 mfululizo za EPL msimu huu.
Mtu mmoja anashikilia rekodi katika Ligi tatu kubwa duniani bado unasema huoni maajabu yake? au kwako wewe maana halisi ya neno "maajabu" ni nini?
Bingwa mtetezi wa EPL,Chelsea alifungwa na Crystal Palace na akafungwa tena na West Ham ambao wapo kwenye zone ya kushuka daraja.Liverpool alisuluhu nyumbani kwake,Anfield dhidi ya Westbrom anaeshika mkia EPL.Kwahiyo sidhani kama ni matokeo ya ajabu sana aliyopata Man City leo dhidi ya Crystal Palace na kama ni mfuatiliaji mzuri wa EPL utakubaliana nami kwamba timu zilizo katika hatari ya kushuka daraja huwa zinakaza sana mzunguko wa pili especially wanapokuwa kwao.
Arsene Wenger na invicibles yake ya 2003/2004 hakuweza kushinda mechi 18 mfululizo za EPL kitu ambacho Guardiola amekifanya kwahiyo kuna kitu ambacho Guardiola amekifanya na Wenger hakukifanya katika invincibles yake.
Ndo umwite mbwa!!! Wew na tram yako utaitwaje? Ya mbwa sijuw ma nini.Guardiola Mbwa Tu, crystal palace wamepoteza nafasi kumchapa huyu kipara ngoto, dah penalty miss
Mmmm karibu mkuu. Takukumbusha.Na Leo Tayari Huyo Gurdiola Ameshatoka Sare na RELEGATOR ambaye anawania Asishuke Daraja!
Hana Anachokifanya Ambacho ARSENE WENGER hajakifanya Na INVINCIBLE Yake 2004.
Kwahiyo Kumsifia Gurdiola Kuwa Hajafungwa Nikuwa Huenda Hamukuijuwa EPL below 2009 na Ndiyomana Munahisi Gurdiola Kafanya Kitu Kigeni ambacho Hakijawahi Kufanywa.
NITAKUJA TENA KWENYE UZI HUU JANUARY 14
wakati yeye anashinda mfululizo wenzake walikua hawafungwi!?..tukutane marchWatu wengine mnachekesha kwani hao majeruhi ndio wameanza leo?.Na mbona wote walikuwa first 11 eleven.
Nimeuiza suali kipindi man city anapoteza wewe utakuwa hufungwi?.
A ha ha ndoto za Alinacha,asipochukua ubingwa Pep ntatembelea makalio kutoka kibamba mpaka ubungo.wakati yeye anashinda mfululizo wenzake walikua hawafungwi!?..tukutane march
Umeandika upupu mwingi nahakuna cha maana ulichoandika.Ingelikuwa Wewe Ni Mshabiki Wa Timu Nyengine Basi Ningelikushangaa Sana! Lakini Wakati Wewe Ni Mshabiki Wa CHELSEA Basi Sitokuahangaa Bali Nitakufundisha. Unajua Kwanini?
Kwasababu Washabiki Wote Wa Chelsea Wameibuka (Rised from nowhere) Mwaka 2005 Ambayo Ndiyo Mwaka Iliyozaliwa Hiyo Chelsea yenyewe.
Sasa Washabiki Hawa Hawajui Mpira na Hawafahamu Chochote Kuhusiana Na Soka.
Wacha Nianze Kukufundisha TOFAUTI YA REKODI NA MAFANIKIO:
REKODI:
Mwaka 1994 Mshabuliaji Wa Newcastle Unite Andy Cole na Mwaka 1995 mshambuliaji Wa Blackburn Rovers Alan Shearer waliweza Kufungwa Magoli 34 kila Mmoja Katika Msimu mmoja tu Wa EPL pekee! Rekodi Hii mpaka Leo hakuna Mchezaji aliyethubutu Kuikaribia.
Mwaka 1998 Mshabuliaji Wa Coventry City Dion Dublin Alitokea Mfungaji Bora Wa EPL kwa Kufunga Magoli 18 tu.
Mwaka 2009 Mshabuliaji Wa Chelsea Nicolas Anelka alitokea Mfungaji Bora Wa EPL kwa Kufunga Goli 19 tu.
MFANIKIO
√ Andy Cole Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
√ Alan Shearer Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
√ Dion Dublin Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
√ Nicolas Anelka Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
Kwahiyo Hapo Cole na Shearer Wameweka Rekodi! Lakini Mafanikio Nisawa na Dublin na Anelka! Wote Ni Kiatu Cha Dhahabu Bila Ya Kujali Wingi Wa Magoli! Kwahiyo Rekodi Zao Hazikuwasaidia Chochote Katika Mafanikio Yao Ya Kubeba Kiatu.
Kwahiyo Si Kila Rekodi Ni Mafanikio Ufahamu Hilo na Ujue Kutofautisha Kati Ya Rekodi na Mafanikio.
Kwahiyo Alichokifanya Gurdiola Ni Rekodi Yakukusanya Points Nyingi Zaidi Kabla Ya Mwaka Mpya tu na Si Kusema Ni Mafanikio.
Kuhusu Mafanikio Ndani Ya EPL mpaka sasahivi Gurdiola Ni Sifuri 0%... Sasa wanaomsifia Sijui Tuwatafsiri vipi!!!!
Halafu Haijalishi Umetoka Sare Ngapi au Umeshinda Ngapi!!
Mwisho Wa Siku Kitakachoandikwa Ni Kuwa "GURRDIOLA EQUALED ASENE WENGER RECORD" amemaliza Msimu Bila Kufungwa...
Sasa Ukieleza Kuwa Sijui Arsenal Kadraw nyingi!! Hapo hatukuelewi...
Kwahiyo Katika Sehemu Gurdiola Aliyofeli Ni Ujerumani Kwani Aliishia Kachukua Kombe la Ligi tu Ambalo Makocha Wote Waliofukuzwa Bundes Liga Walikuwa Wanalibeba! Lakini Hufukuzwa Kwasababu Wanajuwa Kuwa Like Kombe Kwa Bayern Kulibeba Ni Lazima halihitaji Ufundi Wa Kocha Kwa Kikosi Chao..! Kwahiyo Wanachotaka Wao Ni UCL na ndiyomana Ukishindwa Kulibeba Wanakutimua...
Sasa Gurdiola Alishindwa Kubeba UCL kwahiyo alifeli Bali Kwa Upofu tu Munamtukuza eti Kapata Mafanikio Bayern Wakati LVG nayeye Alibeba Bundes Liga lakini Kafukuzwa. Eti Kshinda Michezo 19!!!!!!! kushinda Michezo 19 Ni Rekodi sio Mafanikio.
Nahapa EPL ataishia Kubeba EPL kama Walivyobeba Waliomtangulia Lakini Hatutasema Kaleta Kitu Kipya na cha Ajabu Wakati Wenziwe Wameshakifanya. Na Ukenda Sana Conte ana Credit Kuliko Yeye Kwasababu Kabeba Kombe Msimu wake Wa Mwanzoo.
Ili tumpe Credit labda achukue UCL Back-to-Back hapo Ndiyo Tutasema amejitahidi kidogo Coz wapo Waliomtangulia Back-to-Back.
KWAHIYO USICHUKUE REKODI UKAIFANYA ETI NI MAFANIKIO, HAKUNA TUNZO YA REKODI WALA KOMBE LA REKODI.
Unaposema mashabiki wengi wa Chelsea hawajui soka kwa vile wameanza kuishabikia timu hiyo 2005 it doesn't make sense at all.Ingelikuwa Wewe Ni Mshabiki Wa Timu Nyengine Basi Ningelikushangaa Sana! Lakini Wakati Wewe Ni Mshabiki Wa CHELSEA Basi Sitokuahangaa Bali Nitakufundisha. Unajua Kwanini?
Kwasababu Washabiki Wote Wa Chelsea Wameibuka (Rised from nowhere) Mwaka 2005 Ambayo Ndiyo Mwaka Iliyozaliwa Hiyo Chelsea yenyewe.
Sasa Washabiki Hawa Hawajui Mpira na Hawafahamu Chochote Kuhusiana Na Soka.
Wacha Nianze Kukufundisha TOFAUTI YA REKODI NA MAFANIKIO:
REKODI:
Mwaka 1994 Mshabuliaji Wa Newcastle Unite Andy Cole na Mwaka 1995 mshambuliaji Wa Blackburn Rovers Alan Shearer waliweza Kufungwa Magoli 34 kila Mmoja Katika Msimu mmoja tu Wa EPL pekee! Rekodi Hii mpaka Leo hakuna Mchezaji aliyethubutu Kuikaribia.
Mwaka 1998 Mshabuliaji Wa Coventry City Dion Dublin Alitokea Mfungaji Bora Wa EPL kwa Kufunga Magoli 18 tu.
Mwaka 2009 Mshabuliaji Wa Chelsea Nicolas Anelka alitokea Mfungaji Bora Wa EPL kwa Kufunga Goli 19 tu.
MFANIKIO
√ Andy Cole Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
√ Alan Shearer Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
√ Dion Dublin Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
√ Nicolas Anelka Kachukua Kiatu Cha Dhahabu tu.
Kwahiyo Hapo Cole na Shearer Wameweka Rekodi! Lakini Mafanikio Nisawa na Dublin na Anelka! Wote Ni Kiatu Cha Dhahabu Bila Ya Kujali Wingi Wa Magoli! Kwahiyo Rekodi Zao Hazikuwasaidia Chochote Katika Mafanikio Yao Ya Kubeba Kiatu.
Kwahiyo Si Kila Rekodi Ni Mafanikio Ufahamu Hilo na Ujue Kutofautisha Kati Ya Rekodi na Mafanikio.
Kwahiyo Alichokifanya Gurdiola Ni Rekodi Yakukusanya Points Nyingi Zaidi Kabla Ya Mwaka Mpya tu na Si Kusema Ni Mafanikio.
Kuhusu Mafanikio Ndani Ya EPL mpaka sasahivi Gurdiola Ni Sifuri 0%... Sasa wanaomsifia Sijui Tuwatafsiri vipi!!!!
Halafu Haijalishi Umetoka Sare Ngapi au Umeshinda Ngapi!!
Mwisho Wa Siku Kitakachoandikwa Ni Kuwa "GURRDIOLA EQUALED ASENE WENGER RECORD" amemaliza Msimu Bila Kufungwa...
Sasa Ukieleza Kuwa Sijui Arsenal Kadraw nyingi!! Hapo hatukuelewi...
Kwahiyo Katika Sehemu Gurdiola Aliyofeli Ni Ujerumani Kwani Aliishia Kachukua Kombe la Ligi tu Ambalo Makocha Wote Waliofukuzwa Bundes Liga Walikuwa Wanalibeba! Lakini Hufukuzwa Kwasababu Wanajuwa Kuwa Like Kombe Kwa Bayern Kulibeba Ni Lazima halihitaji Ufundi Wa Kocha Kwa Kikosi Chao..! Kwahiyo Wanachotaka Wao Ni UCL na ndiyomana Ukishindwa Kulibeba Wanakutimua...
Sasa Gurdiola Alishindwa Kubeba UCL kwahiyo alifeli Bali Kwa Upofu tu Munamtukuza eti Kapata Mafanikio Bayern Wakati LVG nayeye Alibeba Bundes Liga lakini Kafukuzwa. Eti Kshinda Michezo 19!!!!!!! kushinda Michezo 19 Ni Rekodi sio Mafanikio.
Nahapa EPL ataishia Kubeba EPL kama Walivyobeba Waliomtangulia Lakini Hatutasema Kaleta Kitu Kipya na cha Ajabu Wakati Wenziwe Wameshakifanya. Na Ukenda Sana Conte ana Credit Kuliko Yeye Kwasababu Kabeba Kombe Msimu wake Wa Mwanzoo.
Ili tumpe Credit labda achukue UCL Back-to-Back hapo Ndiyo Tutasema amejitahidi kidogo Coz wapo Waliomtangulia Back-to-Back.
KWAHIYO USICHUKUE REKODI UKAIFANYA ETI NI MAFANIKIO, HAKUNA TUNZO YA REKODI WALA KOMBE LA REKODI.
naanda spirit,pamba na bandeji nikufunge vidonda makalioni..niaminiA ha ha ndoto za Alinacha,asipochukua ubingwa Pep ntatembelea makalio kutoka kibamba mpaka ubungo.
Shabiki wa Liverpool bana,kipi kipya kwenu?.Hakuna jipya ambalo Pep amelifanya likaitwa maajabu
Shabiki wa Liverpool bana,kipi kipya kwenu?.
Vipi Pep hawezi zifunga timu za EPL kama alivokuwa anafanya laliga?.