Guardiola ameiumbua E.P.L

Siyo kweli!!.... Hajakutana na Big sam akiwa na timu,Hajakutana na Allan Pardew Akiwa na Timu....nnachotaka kukwambia ni hivi kwa England bado Usimuhesabie kama ni bingwa huyo Ligi bado sana hiyo
Hao wengine unaohisi watachukua ubingwa wao washakutana na uyo big sam na Allan pardew?
 

Ungesubili mpaka mwakani kuanzia mwezi March ndo ufungue huu uzi....kama vipigo tu unavoviongelea au kama ni kutokufungwa kwa mechi 15...basi tayari mzee Wenger alishaimbua EPL kitambo sanaaaaa...yeye alichukua ligi bila kufungwa mechi hata moja.
 
Sasa ndugu yangu una lalama nini maana hueleweki! Yani mzazi kampeleka mwanae shule nzuri kwa gharama zake na kafaulu ww umeenda st mkapa bure umefail eti unaanza mzodoa yule mzazi mtt wake aliyefaulu hahahaaa cty wameweka mzigo,chelsea,man u na wengine nao wameweka mzigo pia sasa wao wame scout vzr wamepata wachezaji wazuri ww unawazomea heheheeee huu mpira jmn
 
Kipindi icho man u ilikua inafifia bna usiiringanishe na city hii ambayo ukicheza nayo ww kazi yako ni kupunguza idadi ya magoal tu
ilikuwa inafifia? msimu uliofuata ilibeba ndoo!
 
Sidhan kama hoja kuu ni kutopoteza hata mechi moja katika mtiririko wa mashindano mbalimbali yanayoikabili Man City,bali ni uwezo wa team kwa sasa chini ya Pep!
 
Ungesubili mpaka mwakani kuanzia mwezi March ndo ufungue huu uzi....kama vipigo tu unavoviongelea au kama ni kutokufungwa kwa mechi 15...basi tayari mzee Wenger alishaimbua EPL kitambo sanaaaaa...yeye alichukua ligi bila kufungwa mechi hata moja.
Huyu kawin game 15 mfululizo hakuna draw hata moja kwenye izo mechi 15 iyo ndo record mpya
 
Kuna team haijawahi kufungwa ndugu?
 
Haijalishi ila msimu wa kwanza alitoka kapa hilo ni funzo tosha, hili linalo endelea sasa arsenal walishafanya
 
Maneno ya mfa maji, epl hapakuwa na timu ya maana ndo maana hata kitimu cha ajabu kilikuwa na uwezo wa kujipigia timu yoyote
 
Waambie bana maana kila siku hooo epl ina ushindan sio kama laliga ya timu mbili kumbe hawakujua kwamba hizo timu hata zingekuj epl zingeendelea kutesa, mfano Mancity mwenye kiwango kama cha Barcelona kwa sasa anawaonesha
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu hata sijui umendika nin, aliyeshinda 4 ni bahat alaf aliyeshinda 1 ndo anajua [emoji15] [emoji15]! Au sijakuelewa nn!!!!
 
Mkuu huhui soka bora unyamaze. Hao wachezaji wa Bosque team ya spain walipikwa kwenye club ya vijana ya barcelona na huko ndiko ilikokuwa kazi ya pep..Jamaa ni kocha mzuri na hakuna pingamizi kwa hilo. Man city huoni ilishapotea kuna mchezaji gani pale wa kusema ni wa bei kubwa. Man city inawachezaji wa kawaida kabisa ila anagalia soka. Sote tunashuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…