Guardiola ameiumbua E.P.L

Guardiola ameiumbua E.P.L

Mkuu usiseme goli tano utaamsha mashetani ya wengine humu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hizi Record hata chelsea alkuanazo msimu uliopita sio ajabu, bado siioni city kwenye mafanikio makubwa sana nje ya ubingwa wa E.P.L
 
Mkuu mimi ni fans wa chelsea lakini umeongea ukweli mtupu. Sema kwa kuwa Man city haina mashabiki wengi huko bongo acha ashinde tu. Ila siyo manyau ashinde ndoo tutaumizwa wengi kwa maneno
 
Tukubali tukatae huo ni Msalaba wa jumuiya kila nyumba lazima upite tena kwa kurudiarudia.
Subirini mzunguko wa pili.
 
Yaani ampige Jurgen kloop goli 5, amtandike Mourinho old trafford, ampige Conte stamford bridge..

Halafu umtishie Big Sam[emoji1] [emoji1] [emoji1] .. you cant be serious!!
Huijui epl...hao kina sam siyo wabeba kombe hao ni wapigaji na watampiga...kwa mfano mourinho amepigwa mara ngapi na Alan Pardew,au hujui?...fuatilia na nnakuhakikishia atapigwa muda wowote na timu yeyote......!period
 
Fact
 
Kwakuwa umeandika kishabiki zaidi na mahaba mazito kwa La liga, naomba nikukumbushe kuwa kuna mzunguko wa pili bado haujaanza, kumbuka msimu uliopita.

Kuhusu ubora wa Guardiola, kwangu mimi ni mtu anayetembelea michoro ya wenzake na kutegemea pesa zaidi. Timu zote alikutwa zimesukwa vyema, ni kama Vicente Del Bosque alipopewa Spain akatwaa ndoo kubwa, kazi yake kubwa ilikuwa nini?
aNatembelea michoro ya kina nani? Guardiola ni best coach ever ktk sayari hii tunayoishi.. Kubali au kataa
 
Huijui epl...hao kina sam siyo wabeba kombe hao ni wapigaji na watampiga...kwa mfano mourinho amepigwa mara ngapi na Alan Pardew,au hujui?...fuatilia na nnakuhakikishia atapigwa muda wowote na timu yeyote......!period
Hakuna lolote mzee..

Hao kina Big sam wanatandikwa sana au tulete statistics hapa maana unataka utudanganye..

Nilete statistics za huyo Big Sam V club kubwa za England??
 
7cc7c494f77443f99e204e2862f9cd13.jpg

Haya hiki kipigo alikipokea Big Sam wako mwaka huu kutoka kwa Guardiola...

We unayeijua E.P.L tunakusubiria uje na stats za huyo Big Sam V guardiola tuone maana umetutushia hapa kuwa guardiola hajakutana na Big Sam kana kwamba Bug Sam huwa hafungiki..

Mi nshakuletea alivyoliwa 5
 
Mkuu umenifurahisha sana hahahahahaaa .Man city imekuwa kama msalaba wa Jumuiya ambao unapita kila nyumba.hahahahaaaaaaa Man City ni Balaa jipya lililoingia Mjini (BALIMI) huwezi kulinywa la moto ni mpaka usubiri lipate ubaridi kabisaaaaaaa
 
Hakuna lolote mzee..

Hao kina Big sam wanatandikwa sana au tulete statistics hapa maana unataka utudanganye..

Nilete statistics za huyo Big Sam V club kubwa za England??
Sina sbb ya kukudanganya soma nilichokwambia...na sihitaji kubishana na wewe.....au nikusaidie tu.hao kina sam wana kazi zao maalum wala siyo ubingwa ila ni kuzifanya timu ziwepo ktk ligi na kuziokoa kushuka ikiwa pamoja na kuzipiga au kuzisumbua timu kubwa.....big sam kachukua timu wiki mbili zilizopita,pardew hakuwepo,Moyes pia hakuwepo na wapo wengi kwa ajili ya kutibua tu
 
Nimekutag Kipigo alichokula Big sam mwaka huu kutoka kwa Pep... nasubiria majibu
 
nakumbuka msimu wa 2011/12 Man U walikuwa mbele kwa point 8 kumzidi Man City huku zikiwa zimebaki mechi 6 tu ligi kwisha.
badala yake ni Man City ndiye aliyebeba ndoo ya EPL.

sasa hivi Man City wapo mbele pointi 11 na mechi zimebaki zaidi ya 20.

wacha EPL iitwe EPL!
Man City na Guardiola kiukweli ni wazuri, lakini hawajakumbana majeruhi. Sasa subirini De Bruyne na D. Silva wapate majeraha ndo utajua EPL ni sawa n La Liga au Bundesliga? Tusubiri, time will tell us.
 
watu kukiri tu kuwa pep anajua anachokifanya wanaona kama watapungukiwa damu [emoji23] [emoji23] .

ila ndo ukweli huo jamaa anajua na ni kocha mzuri sana.

naanza kuona man city ikipata mashabiki wengiiiii [emoji3] [emoji3] [emoji3] hasa kutoka Arsenal na Liverpool
Unatutafuta Liverpool?
 
Back
Top Bottom