Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watu mlishupaza shingo sana!!!
Ule ubingwa wa Liverpool (COVID EPL title) ulifanya mtapike maneno mengi sana.
Enewei, bado kuna kiumbe ana wasiwasi au ana mashaka na ubabe wa Pep hapo Uingereza?
Aondoke au abaki?
images.jpeg
images (1).jpeg
 
Apunzike wapi tena? Aendelee kuwepo hapo hili dunia ishuudie Arteta wetu akiangusha utawala wake.

This season we are going to witness the end of city's dominance.
Arteta?
Arsenal?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
watu walikua wandai epl ngumu, siji laliga na bundesliga. i ligi nyepesi,
pep mtu mbaya sana, ana wanyoosha mnooo
Kiukweli haya matusi ya kuchukua ligi mare nne mfululizo Pep hakuwahi kuyafanya hata laliga ambayo ndio ilikuwa ni ligi nyepesi zaidi.... nakumbuka alivyokuwa Barcelona alichukua mara tatu mfululizo, alivyotaka kuchukua mara ya nne Morinho na real madrid yake wakamzuia akakimbia na kukimbia...!!

Kaja huku EPL ambapo kunq timu zaidi ya 4 zenye vikosi shindani sawa na yeye, lakini bado katunyoosha mara nne mfululizo na tusipoangalia atachukua mara ya tano
 
Unafundisha barcelona ile,kisha bayern kisha city,kila mchezaji umtakae wampata,alipotoka bayern angeenda arsenal
Ulitaka afundishe timu ambayo akimtaka mchezaji ananyimwa? Halafu mani alikudanganya kuwa wanasajiri wachezaji ili wawafundishe kucheza mpira? Imekuwa academy?
 
Back
Top Bottom