Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

1601228902217.png
 
Alieanzisha huu uzi bado yupo hai?

Aje ku-verify maneno yake
Nipo hai!
Nimekuja kuverify maneno yangu.
Vipi wewe, upo hai?
Kama upo hai, hongera kwa kushuhudia Pep akiigeuza ligi ya Uingereza kuwa mali yake binafsi.
 
Bongo hakuna wachambuzi wa soka bali kuna washabiki tu
😂😂😂
Weh mzee bwana!
Pep aliwapa matumaini makubwa sana na ule ubingwa, kocha wenu (Klopp) pumzi imekata amekimbia, Pep bado yupo anadunda.
 
Back
Top Bottom