Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Hata kikosi hujui kupanga mkuu PEP hawez wachezesha rodri na fernandino the same hata siku moja
 
Ndugu huwajui watanzania.Mtu anasema tu ubaguzi kwakutumia hisia zake anavyotaka yeye bila hata fact zozote.
 
Hata kikosi hujui kupanga mkuu PEP hawez wachezesha rodri na fernandino the same hata siku moja
Ha ha ha!
Kama umepitia vizuri uzi wangu,utaona Fernandinho yupo benchi na Rodri yupo kwa kikosi cha kwanza.
Rodri amenunuliwa kuja kucheza nafasi ya Fernandinho.
 
Ndugu huwajui watanzania.Mtu anasema tu ubaguzi kwakutumia hisia zake anavyotaka yeye bila hata fact zozote.
Wanaendeshwa na chuki zao binafsi,ndio maana wanakosa facts.
 
Unajua gadiola anaamini katika talent na sio professional ndomana wachezaji anao wapendelea ni Wale natural gifted na hao ni ngumu kuwapokonya mpira wanapo kuanao hasa viungo na mastraika muangalie messi,roben,libery,alcantara,sterling,mahrez, hao ni baadhi gadiola hawezi kuchukua mchezaji kama kina pogba,ozil,dembele etc sio kwamba wa baya hapana ila aina ya uchezaji gadiola anacheza mpira wa possession sasa ndomana anatumia watu wanao jua kuficha mipira na kwa mpira wa England atatunyanyasa sana na msimu ujao nafikiri atafanya kitu
 
Bernado Silva hawezi kukosa kikosi cha kwanza
 
The citizens daima tutaendelea kuwa juu mawinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…