jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Acha mazarau wewe!!!!Itoe Totten ham kwenye nafasi ya Tatu kwa kuwa haiwezi kumaliza juu ya Arsenal
Totenham Hotspurs ni bingwa mwaka huu.
Ama laa sivyo itakuwa washindi wa pili.
TO DARE IS TO DO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mazarau wewe!!!!Itoe Totten ham kwenye nafasi ya Tatu kwa kuwa haiwezi kumaliza juu ya Arsenal
Mkuu mara ya mwisho Arsenal kumaliza nafasi ya 4 ilikua lini?Yangu ni 1.Chelsea. 2. Liverpool 3.Man City. 4.Arsenal. Kumbuka arsenal ni mmiliki halali ya nafasi ya nne
hebu tuwie radhi yani arsenal tumalize wa 4. atleast wa 2 au 1 kabisaKwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.
Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpia, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama aipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.
TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
Toa liverpool hapo namba moja weka Arsenal halaf Man utd irudishe namba 6 kwa sababu nafasi iko wazi.yangu mm next season
1. liverpool
2. man utd
3. chelsea
4. arsenal
Umejitekenya mwenyewe halafu unacheeeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],Mbona ipo wazi kabisa Man United yeye ni WA sita,naona umefanya vice versa namba moja umemuweka namba sita na WA sita umemuweka namba mojaMsimu huu utakuwa hivi
1.Man united
2.Chelsea
3.Liverpool
4.Man city
5.Totenham
6.Arsenal hapo namba moja na mbili wanaweza kubadilishana
Wewe Si Bure Sijui umevuta Bange Ya Wapi? Man U akimaliza Juu Ya Liverpool Nahama Nchi na Nablock Account Yangu Ya JF...
Liverpool hawezi kuwa bingwa. Hebu tuheshimiane basiyangu mm next season
1. liverpool
2. man utd
3. chelsea
4. arsenal
Nasevu hii coment yakoWewe Si Bure Sijui umevuta Bange Ya Wapi? Man U akimaliza Juu Ya Liverpool Nahama Nchi na Nablock Account Yangu Ya JF...