Guardiola atamaliza nje ya Top 4

Guardiola atamaliza nje ya Top 4

bingwa mtetezi mbona hamumjadili tatizo nn.

me naona atamaliza msimu akiwa wa tatu.[emoji6] [emoji6] [emoji12] [emoji12]
 
Kwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.

Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpia, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama aipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.

TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
mtoe spurs muweke leicester city[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
1.Arsenal
2.Spurs
3.Liverpool
4 .Chelsea
 
Sasa ya 4 si ndo nafasi yenu ya kudumu? Na hiyo mara hii mukijipindua mutaikosa
bora sie kuliko nyie manure wenye nafasi yenu ya kudumu ya 6 ni mwendo wa europa league
 
Msimamo Utabakia Kuwa Ni Huu tu mpaka Mwisho Wa Ligi...

1) Chelsea
2) Liverpool
3 & 4 Mutajuana Wenyewe huko...
 
Embu muache ushabiki. Timu bara na nzuri kwa sasa kwa pale epl ni Spurs na chelsea. Hizi zipo kamili kwa kila idara. Kwa maana ya beki, viungo na washambuliaji. United kitimu c nzuri kuwazidi arsenal, Liverpool na man city. So united kwenye top 4 hawezi kuingia. Arsenal hawana ubora wa Liverpool na man city. Hapa inabidi waachie nafasi yao ya 4 warudi nyuma hatua 1.
Top 4 itakuwa hivi
1. Chelsea/spurs
2. Spurs/chelsea
3. Liverpool
4. Man city
Arseno na man u poleni
 
Kwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.

Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpira, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama asipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.

TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
Uchambuzi wako mwisho wa msimu utaona kuwa ni uchambuzi uchwara..Pep hatoki top 4...
 
Man u itoe ingiza man City.
Man u ina nafasi yake maalum number 6. Haibanduki hapo. Ni kama imeilipia hiyo number 6
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
As long as Pep yupo Man City, I dont care nafasi gani tutaangukia. sijui wamemtoa wapi huyu, I need him out, atuachie timu yetu.

Simpendi period.
 
Ulipoanza mwanzo nilijua mchambuzi wa soka badae umeonyesha kua ni mshabiki flani tu, kiuchambuzi wa HD Man Utd lazima amalize top 4 na wachambuzi wengi duniani c tu wameiweka United katika kinyang'anyiro cha top 4 bali wameona United ndio tim pekee inayoweza kumfukuzia Chelsea, liver arsenal wala Spurs ni tim zisizo na Consinctance, sasa ujue United atamaliza juu ya Spurs, City, Arsenal na Liver I can't talk about Chelsea coz wanauwezo wa kukeep consinctance na yupo mbali sana
 
Yeye Kachambua Kiushabiki!!!! Huu wako wewe sio ushabiki?? Nyie Ma U endeleeni kujifariji tu lakini mutamaliza ligi mukiwa hapohapo wa 6...
 
Yeye Kachambua Kiushabiki!!!! Huu wako wewe sio ushabiki?? Nyie Ma U endeleeni kujifariji tu lakini mutamaliza ligi mukiwa hapohapo wa 6...
Wewe subiri mwezi mei ublock account yako hapa jf, na kuhama nchi
 
GUARDIOLA; TIK TAK INAIMISI ROHO YAKO ENEO LAKE, acha ku struggle

Pep Guardiola anastrugle, anamfanya Aguero naye a struggle, anasababisha de bruyne a struggle.... Anafanya nafasi yake katika top four nayo istrugle...

Baada ya mchezo Liverpool 1-0 Manchester city unagundua sehemu zilipo roho za Guardiola tangu La liga ikaja Bundasliga na sasa EPL..... Nagundua mambo mengi katika matokeo ya City (ya kushinda na kushindwa)..... Ngundua pia kuwa kweli unaweza kustaafu ukiwa man city.

Twende sasa:-
Pale Camp Nouw roho ya pep ilitiwa nakshi na miguu ya Xavi Hernandez kama mzizi wa tik tak.... Lakini pia ulikuwa katika usalama wa miguu ya Sergio Bosqute....

Unakumbuka nafasi aliyokuwa akicheza ball dancer Andres Iniesta.... Alikuwa hachezi namba 10, hachezi namba 8 hachezi namba 11 pia alikuwa hachezi namba 7. Pep Guardiola aliiunda Barcelona kupitia kwa Xavi Hernandez kwanza na Andres Iniesta pili kabla ya kumalizia kwa Leonel Mesi. Namaanisha hata hapa Etihad stadium pep anamhitaji kiungo ambaye ni clinical player ambaye atakuwa passer na controller wa timu.

Kwa sasa pep Guardiola anamkosa na hana Xavi wa Manchester city ambaye atakuwa clinical player, ambaye ataiongoza timu kwa pasi zake..... Pep ameshindwa kumtengeneza Iniesta wa Manchester city ambaye hatocheza namba 10, 11, 8 na 7 ila atakuwa anagusa pasi katika kila pasi tatu za Xavi aliemtengeneza..... Kufeli kumtengeneza Xavi na Iniesta wa Manchester city ndipo kunapoanzia kufeli kwa Pep Guardiola kwanza na Manchester city baadae.

Fernando, Yaya toure na fernadinho hawatoshi kuwa roho ya Pep Guardiola kama central midfielders katika tik tak.... Kote alipopita alibebwa na eneo la roho yake katika kiungo.... Thiago Alcantara huyu alikuwa special kwaajili ya ku control mchezo na ku control timu kwa pasi zake, kushift kutoka fullback mpaka kuwa roho na mzizi wa tik tak Philip Lahm ni kutokana na ubora wake katika kichwa na miguu..... Nyuma ya Thiago Alcantara au Philip Lahm kulikuwa na Xavi Alonso..... Ona nyuma ya Yaya toure kuna Nani na mbele ya fernadinho kuna Nani....

Ona nyuma ya Yaya toure kuna Nani na mbele ya fernadinho kuna Nani..... Mwanzoni aliwini sehemu kubwa ya Michezo sababu aliwatumia Silva na de bruyne katika ya dimba watengeneze Triangle na Fernadinho...... Tulianza kuishi kwa uwoga katika effect zile za triangle [emoji665][emoji667][emoji668][emoji666]..... Ambazo kwa asilimia kadhaa zilizaa muonekano wa matunda ya tik tak Bila ya kuwa na Alcantara wala Alonso Bila ya kuwa na Xavi wala Iniesta......

Katika mchezo wa dhide ya Liverpool.... Liverpool walikuwa wanaonekana ni wengi sana katika eneo la katikati na kufanikiwa mara nyingi zaidi kupokonya mipira kitahisi..... Hii ilitokana na ile falsafa ya triangle kufa katika speed ya Liverpool.....

Kuwa na Yaya toure na fernadinho ambao wanawasubiri Liverpool waje katika eneo lao na sio kuwafuata huko huko ni kumtesa David Silva.... Guardiola Guardiola macho ya Kila mtu yanaanza kukuona unavyo patwa na anguko la falsafa yako hatari.

Ukiachia kuteswa na mbinu chafu basi Guardiola amekuwa mhanga wa speed technical kwa timu anazokutana nazo. Burnley walionekana kutaka kutumia mbinu ile ile ya Liverpool waliyotumia kushinda mchezo lakini walifeli sababu Burnley hawana flow ya mpira na quality ya players kama ile ya Liverpool. Vipi mchezo ule wa dhide ya Chelsea... Man city Bado walionekana ku struggle wao na Kocha wao katika ile speed technical ya Chelsea..... Vivyo hivyo dhide ya Arsenal katika kipindi cha kwanza kabla ya vijana wa Wenger hawajaridhika na matokeo.....

Mara zote falsafa ya Guardiola imekuwa ikishindwa kuwa na safu bora ya ulinzi ila Imefanikiwa kulindwa na possession ya eneo la kiungo kwa kukaa na mpira muda mrefu.... Hapa otamend na John stone hawana usalama wa kulindwa na possession ya eneo la kiungo kwanza na overall possession ya timu kiujumla. Hapa tunamuona Guardiola anaamua kuwaruhusu Zabaleta, clich, Sagna na Kolarov kupiga cross kuliko penetration pass.

Nimeamua kumfanya scouting Illarramend ni mmoja ya miguu inayoishi na kukua katika falsafa ya tik tak na kuwa roho ya kiungo cha real Sociedad chini ya Eusebian Sacristan..... Huyu mwanadamu ndiye Xavi mpya katika falsafa yako.... Huyu kiungo anaweza kuiweka salama roho yako pale Etihad..... Siku ukifungua jicho kwa huyu jamaa anaweza kuwa mtu sahihi kwa Gundogan na silva.

Huku kwetu Guardiola heshima yako ipo pale pale ila tunaimisi tik tak katika ligi yenye roho mbaya..... Guardiola itafute roho ya eneo lako ili ujitangaze tena kwenye ligi hii ya matangazo. Happy new year Pep.

Huu ni wakati wako wa kufanya unacho penda au uwape ruhusa wakufanya wanachopenda wao na timu zao..
 
Wewe Si Bure Sijui umevuta Bange Ya Wapi? Man U akimaliza Juu Ya Liverpool Nahama Nchi na Nablock Account Yangu Ya JF...
01a50e87b6bd2d2a9e004334a78f8403.jpg
 
Back
Top Bottom