Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoe spurs muweke leicester city[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.
Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpia, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama aipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.
TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
Mkuu nimemwambia nasevu coment yake, mwezi mei nakuja kumkumbushasijui umekula maharage ya wapi.weka akiba ya maneno.man u sio wa mchezo mchezo
Sasa ya 4 si ndo nafasi yenu ya kudumu? Na hiyo mara hii mukijipindua mutaikosahebu tuwie radhi yani arsenal tumalize wa 4. atleast wa 2 au 1 kabisa
1.ArsenalKwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.
Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpia, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama aipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.
TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
bora sie kuliko nyie manure wenye nafasi yenu ya kudumu ya 6 ni mwendo wa europa leagueSasa ya 4 si ndo nafasi yenu ya kudumu? Na hiyo mara hii mukijipindua mutaikosa
Nimesave hii comment for reference
Nasevu hii coment yako
Uchambuzi wako mwisho wa msimu utaona kuwa ni uchambuzi uchwara..Pep hatoki top 4...Kwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.
Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpira, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama asipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.
TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Man u itoe ingiza man City.
Man u ina nafasi yake maalum number 6. Haibanduki hapo. Ni kama imeilipia hiyo number 6
Ulipoanza mwanzo nilijua mchambuzi wa soka badae umeonyesha kua ni mshabiki flani tu, kiuchambuzi wa HD Man Utd lazima amalize top 4 na wachambuzi wengi duniani c tu wameiweka United katika kinyang'anyiro cha top 4 bali wameona United ndio tim pekee inayoweza kumfukuzia Chelsea, liver arsenal wala Spurs ni tim zisizo na Consinctance, sasa ujue United atamaliza juu ya Spurs, City, Arsenal na Liver I can't talk about Chelsea coz wanauwezo wa kukeep consinctance na yupo mbali sana
Wewe subiri mwezi mei ublock account yako hapa jf, na kuhama nchiYeye Kachambua Kiushabiki!!!! Huu wako wewe sio ushabiki?? Nyie Ma U endeleeni kujifariji tu lakini mutamaliza ligi mukiwa hapohapo wa 6...
Wewe Si Bure Sijui umevuta Bange Ya Wapi? Man U akimaliza Juu Ya Liverpool Nahama Nchi na Nablock Account Yangu Ya JF...