Guest gani morogoro ni nzuri

Guest gani morogoro ni nzuri

georgei

Senior Member
Joined
Oct 14, 2009
Posts
110
Reaction score
8
Wadau nataka wikend ijayo nikacheze mechi kwenye uwanja mdogo wa kulipia (6 by 6),sasa sijui wapi kuna LODGE yenye gharama nafuu(kati ya 15000 hadi 20000)
kama unajua nielekeze tafadhali.reference iwe msamvu au stand ya mabasi morogoro mjini
ASANTE IN ADVANCE
 
Midland lodge II ni mpyaaaaaaa! Hata shuka hazina manii za kila aina! Japo zaafuliwa ila huwa sina imani na shuka za guest!

Nashera iko poa, Morogoro Hotel (Old is Gold), Oasis (Sijui bado ipo) Gwami pia sio mbaya! kuna mpayaa iko Muhonda sijui Mahonda ilipokuwa Hunters ya zamani!!!!!
 
Nenda Mziwanda lringa road Chamwino bei buku 9 tu unajikamatia mpododo Mliti pale unalala kwa raha zako.
 
Midland lodge II ni mpyaaaaaaa! Hata shuka hazina manii za kila aina! Japo zaafuliwa ila huwa sina imani na shuka za guest!

Nashera iko poa, Morogoro Hotel (Old is Gold), Oasis (Sijui bado ipo) Gwami pia sio mbaya! kuna mpayaa iko Muhonda sijui Mahonda ilipokuwa Hunters ya zamani!!!!!

Ahaa kumbe una imani na taulo za guest.
 
Kuna Moja ni Hotel sio Guest nililala juzi, ina jina gumu kidogo ila ipo Jirani na sehemu inaitwa Msikiti wa Mahita
 
We unadhani ni guest house ipi ni nzuri? Je vigezo vyako ni nini? Je umeoa au kuolewa? Je unakwenda kuzini au kujipumzisha? Je umejiuliza kuhusu miwaya? Je kama hujaoa au unakwenda kuzini una uhakika gani kuwa ID yako haijulikani kwa yule unayetaka kumsaliti? Tamaa mbele mauti nyuma. Ni ushauri tu.
Wadau nataka wikend ijayo nikacheze mechi kwenye uwanja mdogo wa kulipia (6 by 6),sasa sijui wapi kuna LODGE yenye gharama nafuu(kati ya 15000 hadi 20000)
kama unajua nielekeze tafadhali.reference iwe msamvu au stand ya mabasi morogoro mjini
ASANTE IN ADVANCE
 
ingia Kidia One hapo ukafanye hiyo midhambi unayotaka kuifanya...na Mungu akulaani unatane
 
mtalaania wote maana na wewe umechangia kumuelekeza
 
Nenda Nashera Hotel ambapo Adam Malima (naye ni naibu waziri kama mimi) aliibiwa kila kitu kasoro chupi, ila kuna changudoa wajanja sana pale
 
Ahaa kumbe una imani na taulo za guest.

Mwanamke khanga moko, khanga ndembe ndembe! Shurti ukitoa kuoga ujivike khanga inatane na mwili! Tatulo ndani kwako tuuuu!

Hizo taulo ndo kabisaaaaaaaa! Sizigusagi!
 
Pale ni executive lodge mkuu siyo hoteli
Kuna Moja ni Hotel sio Guest nililala juzi, ina jina gumu kidogo ila ipo Jirani na sehemu inaitwa Msikiti wa Mahita
 
Nenda B One ipo karibu na stand ya daladala zipo kama 4 ivi in different locations. Unaweza kuchukua tax utafika kirahisi zaidi.
 
Kwa mke wako ndo poa mwambie akupishe kama unaona sawa uzinzi pambuv zako
 
Midland lodge II ni mpyaaaaaaa! Hata shuka hazina manii za kila aina! Japo zaafuliwa ila huwa sina imani na shuka za guest!

Nashera iko poa, Morogoro Hotel (Old is Gold), Oasis (Sijui bado ipo) Gwami pia sio mbaya! kuna mpayaa iko Muhonda sijui Mahonda ilipokuwa Hunters ya zamani!!!!!

Samahani dada ww ni m2 wa Moro!?
 
Samahani dada ww ni m2 wa Moro!?

Hhahaaaaaaaaa! Enzi za chuo tulikuwa tunajiachia sanaa na mialiko ya wadau wa Sua na Mzumbe!!!!!! Ijumaa ni Moro mwanzo mwisho hadi jpili!
 
Back
Top Bottom