Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Imejificha kwa ndan then ina parking ndan ya hotel kiasi mtu wa nje hawez kuona hata alama ya gar kwa wale wenye usafiri wao... Wanaingiaga watu maarufu humo kma wasanii,wanasiasa na wafanyabiashara wanaojulikana

Kazi kweli kweli!
 
zote hizo ziko barabarani main road kasoro kibadamo waingia ndani kidogo hiyo ya sinza mori siijui.Mimi kama naiba mume wa mtu atanikoma ntakavyomficha lol
 
Hahaha mie ntajulia wapi bwana. Sasa ukiiba nke wa ntu unampeleka taarab ama?

Duh. Kama ujasusi ama fbi hivi. Cheating is a project aisee. Nikiconfirm paw ananicheat kwanza ntampa pole kwa sababu najua atakuwa alitumia nguvu nyingi sana kujificha.
 
Last edited by a moderator:
kumbe ile aliyobambwa nayo Mh Malima inafaa ihamishiwe Dar?
 
wewe kuuona ufalme wa mbinguni itakuwa kazi sana, ponda raha sasa ila moto na kiberti vinakusubiri
 
Dah na kibadamo jaman, nalalaga pale nikitua ubungo usiku, yan unashuka na lift yako unakuta pako kimiaaaa unajiuliza hivi hii floor yote nipo mm tu? Ila pazur tho hayo ya kwenda na mke/mme wa mtu mh!
 
Utupe na bei yake sio unachomaa mafuta halafu. Bei ya kuchoma mfuko

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
nahitaji kuwa na bastola jamani nifanyeje?

nenda kawaone kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa watakupa form utajaza then watachunguza nyendo zako wakiridhika wanakupa kibali kama upo tz nenda moshi tanganyika arms utachagua uipendayo then ........then kuwa makini usipoua itakuuwa.......
 

ha ha ha ha ha hii kali sana umeua
 
Hehehe..mna kazii mnaoiba..MULIKA MWIZI ITAWAKAMATA SMDAY...
 
Haya ndiyo tunayowaza wabongo sie. Hivi tutapata muda gani wa kufikiria mipango ya kimaendeleo kwa upana wake. Mungu tusaidie atleast kila tuamkapo tuwaze maendeleo na sio mambo ya namna hii. Amen
 
unaingia room imeandikwa CAPE TOWN , chumba kikubwa kama sebule bafu nalo kubwa kama chumba cha kupanga sinza ttz feni na kitanda vinapiga kelele kama vimetumwa na majirani , mapazia ya mwaka 2000 daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…