Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
zote hizo ziko barabarani main road kasoro kibadamo waingia ndani kidogo hiyo ya sinza mori siijui.Mimi kama naiba mume wa mtu atanikoma ntakavyomficha lol
Hebu weekend hii njoo uniibe mimi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zote hizo ziko barabarani main road kasoro kibadamo waingia ndani kidogo hiyo ya sinza mori siijui.Mimi kama naiba mume wa mtu atanikoma ntakavyomficha lol
Kukufundisha wewe ni sawa na kumfundisha samaki kuogeleanaona mnafundishana wizi hapa....
Kuna moja inaitwa "Bora Imani Guest House" iko kwa Mtogole!
unaingia room imeandikwa CAPE TOWN , chumba kikubwa kama sebule bafu nalo kubwa kama chumba cha kupanga sinza ttz feni na kitanda vinapiga kelele kama vimetumwa na majirani , mapazia ya mwaka 2000 daah
Imejificha kwa ndan then ina parking ndan ya hotel kiasi mtu wa nje hawez kuona hata alama ya gar kwa wale wenye usafiri wao... Wanaingiaga watu maarufu humo kma wasanii,wanasiasa na wafanyabiashara wanaojulikana
ikweta grill ndani mikona kibao na lile geti la nyuma la kutokea uswazi ni noma kwa madentblue bird vipi?
Hebu weekend hii njoo uniibe mimi..
Utupe na bei yake sio unachomaa mafuta halafu. Bei ya kuchoma mfuko
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;
1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
Mmesahau nice star pale maeneo ya mlimani city. Mikocheni kuna chocho moja linaitwa kwa waitara. Kule mitaa ya kunduchi kuna chimbo linaitwa tripple j. Huko ni balaa. Boko kuna sehem inaitwa sundowner...nayo ni noma.
tukutane utajiju guest house