Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

zote hizo ziko barabarani main road kasoro kibadamo waingia ndani kidogo hiyo ya sinza mori siijui.Mimi kama naiba mume wa mtu atanikoma ntakavyomficha lol

Hebu weekend hii njoo uniibe mimi..
 
kuna ile B&B Hotel, mwenge unaingilia pale nakiete, imejificha ile asee..unapaki gari ndani kimshazari plate number haisomeki au inazibwa kabisa na special plastic
 
unaingia room imeandikwa CAPE TOWN , chumba kikubwa kama sebule bafu nalo kubwa kama chumba cha kupanga sinza ttz feni na kitanda vinapiga kelele kama vimetumwa na majirani , mapazia ya mwaka 2000 daah

Du! Wewe inaonekana ni mteja mzuri sana mkuu.

Body without head
 
Imejificha kwa ndan then ina parking ndan ya hotel kiasi mtu wa nje hawez kuona hata alama ya gar kwa wale wenye usafiri wao... Wanaingiaga watu maarufu humo kma wasanii,wanasiasa na wafanyabiashara wanaojulikana

Nimeiona imeturia sana ac zina nguvu sana, inafaa ktk kipindi hiki cha joto kali.

Body without head
 
Mmmh Watu wabaya sana...mimi sina habari na wake za Watu ila hapo Kibadamo nimewahi pumzika na shemeji yenu ni patulivu sana na Wale wahudumu wastaarabu sana, mara zote naenda na mpenzi wangu na wanatuhudumia vizuri, wanashangaa jinsi ninavyompenda mpenzi wangu..naonaga kama wanatamani wangekua wao vile..ha ha!natania tuu...
NB ACHENI WIZI WA WAKE/WAUME ZA WATU MTAPIGWA RISASI.
 
Mmesahau nice star pale maeneo ya mlimani city. Mikocheni kuna chocho moja linaitwa kwa waitara. Kule mitaa ya kunduchi kuna chimbo linaitwa tripple j. Huko ni balaa. Boko kuna sehem inaitwa sundowner...nayo ni noma.
 

Tafiti hii umeifanya kwa mda gani?
 
Mmepasahau IKULU, pale magogoni. mke wako akiingizwa kule utajua?
 
Aisee nielekeze hii tripple J
Mmesahau nice star pale maeneo ya mlimani city. Mikocheni kuna chocho moja linaitwa kwa waitara. Kule mitaa ya kunduchi kuna chimbo linaitwa tripple j. Huko ni balaa. Boko kuna sehem inaitwa sundowner...nayo ni noma.
 

Bei beiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…