Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Kule Mbagala kuna Serengeti lodge..iko mafichoni..kazi kwenu..
Bado inaitwa Imasco?? kama vile imebadilishwa jina...Kiboko ni Imasco Temeke mpaka gari inaingia ndani garage ukipaki unaibukia direct chumbani, mkitaka hamuonekani wote hata kwa mhudumu, pesa unapenyesha chini ya mlango, ukitaka kinywaji ndiyo mmoja wenu ataonekana kwa mhudumu mmoja tu.
Body without head
Kiboko ni Imasco Temeke mpaka gari inaingia ndani garage ukipaki unaibukia direct chumbani, mkitaka hamuonekani wote hata kwa mhudumu, pesa unapenyesha chini ya mlango, ukitaka kinywaji ndiyo mmoja wenu ataonekana kwa mhudumu mmoja tu.
Body without head
Nahitaji kuwa na bastola jamani nifanyeje?
Travertine nayo iko poa sana (kwa sisi wenye mambo ya Kiswahili lakini.)
Mmepasahau IKULU, pale magogoni. mke wako akiingizwa kule utajua?
Hiyo ndio hii inayoitwa PR Hotel hapo karibu na Uwanja wa Taifa ninayosikia unaingia na gari hadi chumbani?
Na wewe huwa unaingia kwenye hizo shughuli???
Mhnn umenikumbusha sisimko guest ipo Mwananyamala