Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Kuna moja hiyo ipo Kino Shamba chini kabisa kwenye kona ukinyoosha na ile road unatokezea Best Bite. Ukipita nje unaeza dhania ni nyumba wanaish watu.
 
Naomba jina lake mkuu
Hainaga jina hiyo ndugu. Wewe ukifika Biafra kuna road inashuka chini, nenda nayo moja kwa moja mpaka chini huko utakuta kuna road nyingine inapinda kushoto, nyingine inaendelea kulia. Hapo hapo kwenye kona kuna nyumba ina geti mbili, zote kubwa. Ingia hapo hata usiogope
 
Hiyo ndio hii inayoitwa PR Hotel hapo karibu na Uwanja wa Taifa ninayosikia unaingia na gari hadi chumbani?
Gesti ina vyumba vikubwa mnaweza cheza rede na mume wa mtu.
Bafu kama chumba cha kupanga Mabibo kota.
Ila ya kizamani sana.
Gari inapaki mlangoni kwako

Na kuna ile moja iko pale Malapa.
Gesti ina ngazi na makona kona kama unaenda akhera.
 
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;

1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.


Sinza kwa ukahaba, sishangai kuona Hotel ulizozitaja nyingi ziko huko.
 
Back
Top Bottom