Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hahahah....gesti ina dressing table kubwa kama chumba cha make up.Hahahaha mbona umesahau kuongelea vioo vikubwa ukutani?
Chumba kimoja, dressing table 3, za nini zote hizo?
Dah, ila vitanda ndo sio.
Mie na wewe tukidinyana tu, tunaangusha kitanda shem.
Lini tujaribu?
Ila ile zamani ilikuwa gesti vile vile au ilikuwa ukumbi?
Maana si kwa ukubwa wa vyumba vile.